Baba wa kambo ni tofauti na mama wa kambo

Baba wa kambo ni tofauti na mama wa kambo

Ralph Tyler

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
2,842
Reaction score
3,618
Ni baba. Tofauti kabisa na mama wa kambo.

Hata hawara wa mama anatoa msaada wa ubaba kuliko mama wa kambo anavyotoa wa umama. Ni uzoefu.

Asante baba.
 
sawa sawa...ila sijui ukubwa wa sample yako...kuna 'mibaba' bana wacha kabisa!!
 
Baadhi tu, Nakumbuka kuna kisa kimoja jamaa amempenda mwanamke mwenye mtoto mmoja jamaa akampa sharti yule mama ili tuishi wote hakikisha unampleka huyu mtoto wako kwenu..
 
Baadhi tu, Nakumbuka kuna kisa kimoja jamaa amempenda mwanamke mwenye mtoto mmoja jamaa akampa sharti yule mama ili tuishi wote hakikisha unampleka huyu mtoto wako kwenu..
Bora huyo kuliko mama wa kambo ambaye anakubali kumpokea mtoto halafu anakuwa anamtesa. Mtoto akienda kwa mamake atakaa na wajomba zake na bibi na babu, ni damu yake pia.
 
Baadhi tu, Nakumbuka kuna kisa kimoja jamaa amempenda mwanamke mwenye mtoto mmoja jamaa akampa sharti yule mama ili tuishi wote hakikisha unampleka huyu mtoto wako kwenu..

Alafu akimpeleka kwao anakuwa sio mwanae tena na nafs inakubali kweli sijazaa ndio naanza upy...
 
Mkuu, mbona unamshambulia jamaa, au na wewe ni miongoni mwa mababa wa kambo wachache walisiojali watoto wa baba wengine?

Nishamjua ni mtelekezaji, kuna watoto amezaa na wanawake huko kawatelekeza, sasa roho inamuuma kuona nawasifia wale waliokubali kulea hao wanawe aliotelekeza. Na kwa taarifa yake tu ni kuwa hao watoto watafanikiwa hadi mwenyewe ajionee aibu.
 
Sikatai wapo Wamama wa kambo wasio na roho mbaya na kuna watu waliolelewa na Mama wa kambo mpaka wanakua.

Ila tukija kwenye ukweli wengi wa Wamama wa kambo kwa kweli wana roho mbaya sana.

Nina mifano hai kutoka kwa washikaji zangu na watu ninaowafahamu ambao walilelewa na Mama wa kambo.

Kwa kweli ni huruma na huzuni ya hali ya juu
 
Back
Top Bottom