Baba na dada na mama na kaka!!!!!!! Inatisha na kuleta kinyaa!!!!!!!!

Baba na dada na mama na kaka!!!!!!! Inatisha na kuleta kinyaa!!!!!!!!

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,004
Wadau heshima kwenu wote kwa mpigo!

Nimetoka kijijini siku chache zilizopita na kuyaona ya kustaajabisha,baada ya kuona mwalimu wa shule ya msingi mstaafu akizini na binti yake wa kumzaa na huku mke wake akilipa kisasi kwa kuzini na kijana wake wa kiume kwa kulipa kisasi.
Familia hiyo wote ni wanywaji wa pombe za kienyeji,pamoja na bia kwa siku chache pindi wakipata pesa za kutosha.

Nimejiuliza je hiyo ni sahihi? kulipizana kisasi kwa style hiyo?? mume na mke ndio waliozaa watoto ambao siku za karibuni wamegeuka kuwa wapenzi wao.

AMINI USIAMINI,HAYO MAMBO YAMETOKEA NA YANAENDELEA KUTOKEA KWENYE FAMILIA HIYO.
 
Mungu awasamehe, hawajui watendalo. Hii ni zaidi ya sodoma na gomora.
 
Wadau heshima kwenu wote kwa mpigo!

Nimetoka kijijini siku chache zilizopita na kuyaona ya kustaajabisha,baada ya kuona mwalimu wa shule ya msingi mstaafu akizini na binti yake wa kumzaa na huku mke wake akilipa kisasi kwa kuzini na kijana wake wa kiume kwa kulipa kisasi.
Familia hiyo wote ni wanywaji wa pombe za kienyeji,pamoja na bia kwa siku chache pindi wakipata pesa za kutosha.

Nimejiuliza je hiyo ni sahihi? kulipizana kisasi kwa style hiyo?? mume na mke ndio waliozaa watoto ambao siku za karibuni wamegeuka kuwa wapenzi wao.

AMINI USIAMINI,HAYO MAMBO YAMETOKEA NA YANAENDELEA KUTOKEA KWENYE FAMILIA HIYO.

Ni wenyeji wa mkoa gani?
 
Hhhgkjsjshhdggdggdggdhcvbcvcvcfvdgdghshgfdgdfgdfgddflljjhg hgdggdddvbcccvb fbfbfbbfhdd hdfdvddgf nfbbfbbfhfvfvdvdfdc mfnbbfbfbddvn nsnsnv kndbddbdhdbdfbfnj mgngbgngbgb ngngngbvfvfvd nfnnfbbddbddb nfbfbfffbfbfbf nfnfnfnfhfbfb dnbbfbfbfb jdbdbhfhfhfddh ffnfbfbfbfhfbb ffnfbfbfbfbfb ffkkfkrhrdbd fnnfhfhb rrererfyduhiijhhkjjlvjvjln jvnvhhvnvn mdmdmedmnnbh kbbbbgvgjbbbb nnhbdbdbd jskkjdhdhdgg bhfhfhf fgfgfhffhfb hgdgdgdgv hbvbvhvhv dhdgdfdddf djeeyrtrtrgg bsbsbsfvv fhhfhfh bfbfbbfbf vssccsscscscb bfbffgfgfgf ggggdgdgdgdgd bfnfccggdj bsbssns f bbfbffvv nnanana avavvavcd hdvvevev mkjhfhfhfh bbccbcvcvcv vddcx geeefefc eeuegfhurjrirhrjr ekekejehe fsfsddaadc jhhdhdhdbn ggjgjgjgkg dgbdbbdvdvdc dehsyhjsshss kssnsbsv yttrgdbjcncbcbdv bsbsf v cccbcbggd vsvvsf hshshsfssffs kjgjjffhfyfghfbffg sgsgsgfsd erererteffddv jdddbdbdgdvd nfbfbfbfbfbh kbshgwv nnhcgdfd ggfhfgfhfhfgfh hjgjjgjgjg kngnngngbgvcg jfjfjfhfhfh dhdgdgdg d kjjejdhdhdhdhdbbn ndjsjwsjj trtrtrtrggd bbbdgdfsvsc kshshsgsv kshshshsg gdgddcdfdvdcdgdvdg dbdhdgdfddv hhdyrtrgffb jsjsjsjsb isisisin nsbsbsb vvvsvsvsh hshshsffdvdv svscsvscscv kdjdhdggf bdvdfdfdfd scscsdsdv ghgjgjgjgjgj bdq qqqgqgqgqfc vdgdfsfsfsf hfhfhfhfj kfjdhfgv dfdfsgsgsg hheeyeyeteg fjfkfjfjf b ssgsgsgsfsf jfkgkgjgjhgs ssfsfsrsgsdhdg gmgjggkgjj xvxvxvxfdxd ngjgjggy vsfsfdgdfcfgh jjhjjhkgjfbbfnnfhfhfh mdndndndnd urytythggd dhdhdgvgbfbf jdhdhdhdh mggmgmgm
 
Watanzania wameendelea siku hizi! Tumeendelea sana
 
Mhmm Mungu tumemuacha kabisaa shetani anatutesa sanaa. Mungu turehemu.!!
 
hata mkeo akiliwa utasema ccm

kitakuwa kihelehele chake cha kujipeleka kwenye mikutano ya ccm. maana wao ni mbele kwa mbele . na ule wimbo wao wa tieni tieni kwa moyo mmoja ccm ni number one kwa ufisadi. alafu nina wasiwasi nawe sijui ka UKo salama kunako huko.
 
Back
Top Bottom