ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,009
- 61,260
Kwani lazima kila kizuri uwenacho?kwani lazima tushindane kumiliki vinono?
Kwani lazima uyafuate maisha ninayoishi homo sapiens mwenzako?
Ifike mahali utambue mimi pia na hulka zangu..ukijikuta unaniwaza utakuwa ume fail me nazidi kuchana anga
Sijui kwanini Kila sehemu kuishi na mbantu ni kazi
Hata kama hutaki ndo nshansema
Mtoa mada wamemkwaza sana siku ya leo >🙂 ka