By Dan Reitman
Below is a brief sampling of some of the many, many things that you shouldnt say after the nasty. Note that the real list is as endless as mans own capacity for foot-swallowing...
Waungwana nina mke na watoto watatu, sasa marafiki imetokea nimempa mimba staffmember wangu sasa sijui nifanyeje.
Naombeni ushauri coz nimekwama.
Plz nd plz help mem
Jamani naomba kuambiwa,
Japo kwa muhtasari kwanini mwanaume anaekunywa/anaetumia pombe hataki kabisa kuoa mwanamke anaetumia pombe kama yeye japo sio wanaume wote ila kwa kiasi kikubwa hawataki...
Habari za majukumu wadau,
Nimeachana na mchumba wangu 1 month ago nimekuwa mtu wa mawazo (stress) sana. Nahitaji smart single lady wa kuchat nae atleast kunipotezea haya mawazo. Elimu yangu ni ya...
Ukiona una mchepuko na mnaelewana ingawa anajua umeoa au umeolewa na yupo radhi kuendana na wewe according to hisia zenu ujue mchepuke ndo alikufaa si uliye naye.
Michepuko huwa mnapokutana kila...
Ni mwanaume nina 26 yrs. Ninakazi yangu na maisha ya maana kabisa. Nina elimu ya juu sana nipo Morogoro nahitaji mchumba wa kuoa. Tabia haijalishi nitairekebisha mwenyewe nipo vizuri...
Nimekuwa najiuliza kwa nini wanaume hawavai pete za 'engagement'?
Ni kwa nini wanawake ndio wanaodhaniwa wanastahili tu kuzivaa (ni ili wasibadili mawazo au)?
Ifike wakati Me nao wavae
Nimeona tukumbushane mambo muhimu kidogo katika jumapili ya leo. Taifa bila virusi vya ukimwi inawezekana, jitahidi kufanya haya:
Tumia kinga kila mara unapokutana kimwili. huwezi kumjua...
​
BY MAUREEN OJUNGA
I spent most of Saturday trying to console a friend who had just found out in the most embarrassing way that he wasnt his first childs biological father! The said...
Miaka hiyo nyansincha seventh day adventist sec school tunaimba mapambio ya kumsifu Mungu kwa hisia na moyo wote ktk eden ile iliyosalia
Wakati huo huo namtokea mtoto rose huku nikimwogopa...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20.Ni mrefu kias,rangi ya maji ya kunde,mtanashati,najua kupenda,niko vizuri in short.Nipo form 6 now.Natafuta msichana wa kuwa nae as my girl friend awe...
Wiki mbili zilizopita jamaa mmoja ambaye tupo naye ofisi moja anadai kukutana na mrembo mmoja ndani ya Min Super Market moja maeneo ya Mwenge.Baada ya kufahamiana nae na kubadilishana namba...
Amin nawaambia kizazi hiki hakitapita hata yote haya yatimie, mbingu na nchi vitapita lakini maneno yangu hayatapita kamwe, walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye hata malaika walio...
Yaani sijui ni mkosi ama ni nini?Kila mara nitumiapo kondoms ni mara chache sana kutopasuka.
But mara kwa mara napata ajali ya kupasukiwa na hivi vitu ninapokua tendoni. Huwaga natumia tu hizi...
Hii nimeiona kwa vijana wengi walio wengi bila kujali jinsia zao.
Unakuta upo kazini, chuoni, shuleni au hata kanisani na mtaani tu unakuwa unahitaji ukaribu fulani na mtu wa jinsia tofauti na...