Nawasalimu wote wana JF,
Naombeni ushauri katika hili tafadhali, majibu ya kejeli sipendi,
Nina miaka 26, katika maisha yangu sikuwahi kufanya mapenz/sex, nina mpenz ambaye mwanzo tulikubaliana...
Wandugu naombeni ushauri.
Baada ya kuhangaika na ndoa yangu, niliamua kufuata ushauri wa member mmoja kwamba niondoke ndani na kumuachia kila kitu, nimefanya hivyo na nimeanza maisha upya...
JE WEWE NI MWENYE HUZUNI?
Ikiwa ni fakiri basi kuna wenzako wamefungwa kwa sababu ya madeni. Ikiwa humiliki kifaa cha usafiri kuna wenzako hawana miguu miwili. Ikiwa unasumbuliwa na maumivu kuna...
Mimi ni msichana nimemaliza chuo mwaka huu,nina boyfriend kwa miaka 2 sasa ila amebadirika sana siku hizi,nampenda sana na sina mwanaume mwngine zaidi yake thou kwao wananijua...naombeni mnipe...
Habari za asubuhi wana JF
Mwezi wa saba nilipost mkasa kuhusu matatizo na mume wangu https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/876139-maneno-ya-kejeli-ya-mume-wangu-10.html
Baada...
Jamani nahitaji mke wa kuoa,umri wangu ni miaka 30,ni mtumishi wa Serikali.Umri wa ninaye mtaka uanzie 22 mpaka 30,angalau awe amefika kidato cha 6.sichagui dini wala kabila.alioko tayari ani PM
Eeh ndo hivyo najua upande mwingine inachekesha lakini lisemwalo lipo,kwa wale wote mabingwa wa oral sex tahadhari ukifakamia sana hiki kipindi cha cholera outbreak una possibility ya kula choo...
Amani iwe nanyi wanajamii. Hivi Eti wapendwa wenzangu wanajamii hivi Eti utafanyaje unatoka nyumbani kwako asubuhi kwenda kazini mlango ulikuwa umeufunga ukirudi unakuta uko wazi na una uhakika...
Watu wa Mungu nawasalim,
Kama mtamkumbuka nilishawahi leta habari ya Alinipa penzi ili nimuingize kazini, imebuma, anatishia kuja kazini kuharibu yule mpendwa mwenzangu, binti, ambae alinipa...
Wakuu habari za jioni,
Poleni na kazi za mchana kutwa,swala la dar kusimama kwa muda baada ya lowasa kwenda kuchukua fomu ya urais kwa ticket ya UKAWA.
Kunajambo moja naomba mnisaidie...
Habari wana Jf
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka30. Nimejitokeza kwenye uwanja huu ili kutafuta mwanamke aliye tayari kuanzisha mahusiano ya kimapenzi yatakayo tujenga kufikia hatua ya mke na...
Mim ni mvulana, umri ni 28yrs,uref 5.8, nipo mwaka wa mwisho chuo kikuu flan apa tz. Natafuta mschana wa kuwa mpnz wa maisha, awe 18-23yrs, asiwe mref wala mfup, mnene wala mwembamba, asiwe mweus...
Habari zenu wana JF?
Leo naomba nishee nanyi aina na vigezo za yule nitayekuwa nae maishani
1) Awe mpole na mtulivu: Namaanisha asiwe mtu muongeaji saana kwana hata mm nipo very polite...
Naandika hii post kwa hisia nzito kwa watoto wa kike especially ambao wameshapevuka na wamevuka umri wa miaka 18 kama haujafika umri nenda kabadili diapers kwa mama .......
Okay ni...
Nahitaji kua na rafiki wa kike anayesoma kuanzia.
1. A- level haswa awe Form 6 (six) au Diploma na. kuendelea hadi chuo kikuu.
2. Katika Fani ya. Civil Engineering, petroleum and gas...
Jamani nina hoja fupi sana hapa, ni kwa nini wanawake/wasichana karibia wote wakishaolewa wanajisahau sana, yaani wanapunguza upendo na mumewe, wanaanza mambo ya kiburi,jeuri,dharau kibao...
Kijana mmoja nchini Malawi Fletcher Jere (26) amefariki dunia kutokana na kuzidiwa utamu wakati akifanya ngono na kahaba mmoja mjini Blantyre.
Gazeti la Daily Times nchini Malawi limeripoti kuwa...