Habari wana Jf
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka30. Nimejitokeza kwenye uwanja huu ili kutafuta mwanamke aliye tayari kuanzisha mahusiano ya kimapenzi yatakayo tujenga kufikia hatua ya mke na mume. Mwanamke awe na umri usiozidi miaka 30.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.