Natafuta mpenz mwaminifu wa kike. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mpenz mwaminifu wa kike.

Discussion in 'Love Connect' started by Kalunguine, Mar 21, 2012.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mim ni mvulana, umri ni 28yrs,uref 5.8, nipo mwaka wa mwisho chuo kikuu flan apa tz. Natafuta mschana wa kuwa mpnz wa maisha, awe 18-23yrs, asiwe mref wala mfup, mnene wala mwembamba, asiwe mweus sana, kabila lolote, elimu ya sekondari au zaid, sibagui dini,(4rm dar, tanga, arusha, dom and moro ni first priority). mie nasali RC, aliye tayari ani pm or atupie apa, tuki42@yahoo.com. Pm zote zitajibiwa.
   
 2. Ndetirima

  Ndetirima JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 60
  Mpenzi mwaminifu utaweza kumpata kama na wewe ni mwaminifu, ila kama wewe sio mwaminifu akigundua utakufa wewe au yeye, hakikisha unakuwa mwaminifu kama bado na umuombe Mungu akupe na mfunge ndoa sio kucheza na maisha yake. Ila nakushauri umalize chuo ufanye kazi kidogo uwe na kwako ndio ufikirie mambo ya kutafuta mpenzi, ukiwa na kwako nakuhakikishia utampata huyo uliyepangiwa na Mungu wala usiwe na haraka ya maisha ya ndoa wakati maisha yako binafsi hujayaanza wala huna uzoefu wowote. Mchele kilo shilingi 2,200/=, sukari 2,000/=, Nyama 6,000/=, Maharage 2,000/=, unga 800/= na mengine mengi bado nyumba kodi, maji, umeme sio mchezo we kijana kukimbilia ubaba unahitaji kujiandaa.
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nashukuru kwa ushauri wako wa busara na hekima, bt maisha nimeanza kitambo, nna kwangu and am a civil servant. Asihofu khsu maisha.
   
 4. C

  CamaDude Member

  #4
  Oct 1, 2015
  Joined: Sep 27, 2015
  Messages: 69
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 15
  kwani lazima awe wa kike?
   
Loading...