Kueleza hisia zako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kueleza hisia zako

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Che Kalizozele, Sep 2, 2008.

 1. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2008
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Niliwahi kusoma katika kitabu kimoja kinaitwa"Total loving" ya kwamba watu wengi ni wagumu wa kuelezea hisia zao hasa za kimapenzi kwa wapenzi wao.Kwamba anapenda na hapendi nini na angefurahi kama angefanyiwa nini mathalani wakati wa kufanya tendo la ndoa.Kama haitoshi,mwandishi akasema tatizo hili ni kubwa sana kwa upande wa akina dada na akina mama.Anasema wanawake ni wagumu wa kusema hisia zao,akatoa mfano;Kulikuwa na mwanamama ambae alikuwa akipata maumivu pindi anapofanya tendo la ndoa na mumewe kiasi cha kupata uzuni na kuishiwa uchangamfu mara tu anapoona jua linaelekea kuzama,unaweza kupata picha mama alikuwa anaumia kiasi gani lakini halikuwa hajamwambia mumewe.labda huyu inaweza kuwa story tuu,juzi juzi nilipata kuambiwa na daktari mmoja,kwamba aliwahi kuambiwa na mmoja wa wagonjwa wake ya kwamba,tangu azaliwe hajawahi kufurahia tendo la ndoa,ameolewa na ana watoto.

  Hapo ndipo nilipohisi kweli tatizo hili ni kubwa na kuna haja ya kulipatia dawa japo ya kienyeji.

  Sasa nachoomba ndugu zangu mseme,je ni kweli tatizo hili lipo na kama kweli lipo hapa kwetu ni kubwa kiasi gani na tufanye nini hasa sisi wanaume hili tuweze kuwasaidia wake zetu.
   
 2. L

  Ledwin JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2008
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 227
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mkuu nakubaliana na wewe hili tatizo lipo,mara nyingi mawasiliano ndio kikwazo kikubwa,inategemea uhusiano kati ya mume na mke/wapenzi huko wa aina gani,kama hamna mawasiliano mazuri mara nyingi mwanamke anaogopa kumwelezea mumewe/mpenzi wake kama haenjoy sex kwa maana mwanaume atajisikia vibaya,kumbe mwanamke mwenyewe ndiye anayejinyima utamu.

  kwakweli mwanaume unatakiwa uwe karibu sana na mke/mpenzi wako kwakumuuliza kama anafurahia?or ujue ni wapi anafurahia ukiwa unasex naye,etc.
   
 3. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  usimwendee mkeo kama vile unaenda vitani au unapeleka punda ... akubebee mzigo wako halafu akishautuwa tu huna haja naye hata hutizami wala kukagua kama kaumia au la... most of the time when mko kwenye act you can always look at ones face to tell kama all is well ... anafurahi, anaumia, hafurahii tendo, amekereka the list is endless ... but the face says it all even those faking unaweza ukamgundua .. most men dont even take the trouble kusoma hisia za mwenza during this mome, its just like niwahi kufika na basi ... na unakula kwa kukomoa as if there is no tomorrow

  Tujifunze kuulizana vipi unaumia ama??? umwangalie mwenzio na si kujifikiria wenyewe coz this is selfishness too.
   
 4. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2008
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kwa mtazamo wangu na uzoefu wa mapenzi na mahaba
  Ukifanya tendo la ndoa kwa mara ya kwanza na mtu ya jinsia tofauti, jitahidi kwa uwezo wako wote umridhishe na sio kujiridhisha mwenyewe. ukiweza kumfurahisha siku ya kwanza basi utaweza kumfurahisha siku zote. Kama siku ya kwanza ulianza tu kwa pupa au ulikua umelewa bas jitahidi mara nyingine upige mzigo kiukweli. mwanamke ni lazima umuweke akili yake kwenye hali ya utayari. stori za mapenzi zinasaidia sana kabla kazi haijaanza. Yale mamo ya kupiga stori za watoto na hela kabla ya tendo ndo yanampa mtu woga wa kujieleza mambo ya kimapenzi.
   
 5. B

  BobMarley Member

  #5
  Sep 2, 2008
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NAIMA mimi nakubaliana na wewe.mimi nitasema kitu kimoja mimi naona waafrika tupo nyuma kidogo kwenye maswala ya mapenzi.sisemi kwamba ni wote.wanawake wanapenda wanaume romantic labda yupo jikoni anapika baba ingia jikoni sema darling are you alright halafu mpige busu halafu mwache akiendelea kukupikia. by the time mnaenda kulala mwanamke atakuwa na hamu na wewe.siyo wengine kusubiria mambo yote kitandani tuzime taa na umpandie tu mwanamke
   
 6. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nakuaminia kwa ushauri dadangu kwenye hizi sekta!Ila kweli romance is an important factor in this whole issue!
   
 7. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kevo wanaume wa kiswahili ... siku za mwanzo ya fungate his hands are all over you like i dont know what ... this time is so full of romance but as days go by this dies out and eventually disappears ... with the man having the notion kwamba sasa huyu yuko kwenye himaya / milki yangu .. ile care pia inapungua ya kukuuliza umeshindaje ... akija yeye maji ya kukoga, chakula, kitandani anataka akuguse tu ungeuke kama ana switch yako vile .... mhh usiseme chochote just fungua mlango aingie ... kisha huyo anageuka ukutani .. usiwe hivyo mdogo wangu.
   
 8. MWALLA

  MWALLA JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2015
  Joined: Dec 12, 2006
  Messages: 9,478
  Likes Received: 3,007
  Trophy Points: 280
  mh! hivi huwa mnaulizana UNAUMIA kwani ni ugomvi? au unamuuliza vipi mpenzi unaskia utam hapo napokusugua.?
   
 9. Asili Tanganyika

  Asili Tanganyika JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2015
  Joined: Aug 12, 2015
  Messages: 575
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mahari inaiuma mkuu!
   
 10. Asili Tanganyika

  Asili Tanganyika JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2015
  Joined: Aug 12, 2015
  Messages: 575
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nimetania msije mkanishoot..
   
Loading...