Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,506
- 21,603
Kuna msichana mmoja hatujawahi kuonana hata siku moja huwa tunawasiliana tu mitandaoni mda tu, Dada kaingia kingi leo kaniambia kuna sehem anaenda atarudi saa 2usiku kisha atakuwepo kwenye hotel mojawapo ndipo hapo ataniita na mm niende.... Wasiwasi wangu hotel nyingi za huku huduma zao ziko juu sana nisije nikaenda nikaishia kupiga U-turn kutokana na vinywaji na vyakula atakayokuwa anaagiza eneo hilo huku hata nyama nisipewe.