Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Niliapa nitamsomesha kwa gharama yoyote. Sasa Jana nikiwa kazini jioni akaniambia nitumie hiyo ada kwenye Tigo pesa. Kidume nikatuma wakati nikitoka job kila nikimpigia hapatikani nikaamua...
2 Reactions
68 Replies
6K Views
Nimeoa
5 Reactions
99 Replies
13K Views
Nakerwa sana na ndugu wa mume wakija nyumbani kwangu wanataka wasombe kila wanachokitamani humu ndani kwangu kuanzia masufuria mpaka nguo. Hivi niishi nao vipi hawa viumbe? wenye experience na...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
habar nahtj mwanamke awe mzur na mrembo,model. Elimu from diploma to bachelor degree,age:18-25,awe virgin,mkristo,asiwe mfupi wala mnene. Kabila lolote. Aliye tayar anipm
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Watu Wanajidai Wanapendana Kweli Kweli.Mahaba Yenye Vionjo Vya Kila Aina.Kama Kweli Unampenda Weekend Hii Mpe Simu Yako Akae Nayo Hata Masaa 2.
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Unakuta mwanamke ana mpenzi ambaye hata uhakika wa kwamba atamuoa haupo anakwenda kuchora tatuu mkononi et i love fred. Sasa nimekutana na binti mmoja kachora i love fred kwenye mkono wake mimi...
4 Reactions
45 Replies
7K Views
Naturally, kuna wanaume wa aina nne kutegemea na uwezo wao kingono: 1.Kundi la kwanza ni wale ambao wana uwezo mkubwa wa tendo la ndoa, yaani kwao erection is not an issue at all. Ukiolewa na...
23 Reactions
293 Replies
51K Views
Dini mkristo, umri kati ya 21 na 29, elimu angalau kidato cha nne zaidi ya hapo ni vizuri zaidi awe mwelewa. Mimi Nina miaka 34, mtumishi serikalini pia mjasiliamali nimeoa. Alie tayari tuwasiliane
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina itaji mwanamke miaka28 na kuendelea niweze kuzaa nae Mtoto mmoja njoo pm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Husika na Mada tajwa! Mm kijana 24 yrs, Bachelor Degree, Sina kazi(mpka mwakani) Hitajio langu..... Mwanmke 30~38 mnene Muislamu kazi yeyote Nahitaji wa kuzaa na kulea nae Mtoto tu..
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nina mpenzi Wangu ambaye kwa muda niliokaa nae naweza kusema amekuwa girlfriend.Tatizo ni kwamba kila nikifanya naye mapenzi lazima adai hela.sasa najiuliza huyu ni gf au changudoa.kila bao...
1 Reactions
103 Replies
12K Views
Nahitaji mwanamke wa kufunga nae ndoa awe maji ya kunde au mweupe... Awe msomi wa degree au diploma katika fani hizi ... Engineer,Doctor, Accountant, finance, business Administration...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habar wana JF. Mimi nilisoma na huyu rafiki yangu shule moja ya kuitwa Ifunda tech, Iringa hiyo. Sasa wakati tuko form three 2011 yeye akagombea uongozi wa library akapata. Sasa ile siku anaenda...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Kutoka mbegu za kiume muda mfupi baada ya kumwingilia mwanamke huitwa premature ejaculation. Huu ni udhaifu wa kawaida kwa wanaume walio wengi kwa ujumla wake, ikiwa ni pamoja na vijana. Mtaalamu...
11 Reactions
80 Replies
27K Views
Nina shemeji yangu (mke wa kaka angu) tangu ameolewa imeshapita kama miaka 6 na wamebahatika kupata watoto wawili sasa ila ndoa yao imejaa zwenge sababu mama wa kaka angu ameingia kati hamtaki...
3 Reactions
29 Replies
6K Views
Mwaka 2012 nilipata matatizo kazini, tangu hapo nimehangaika sana kutafuta kazi nyingine bila mafanikio, katika kipindi chote hiki familia yangu haijawahi kulala na njaa hata siku moja, hii ni kwa...
10 Reactions
183 Replies
18K Views
Binadam huwa tunapitia katika misukosuko mingi wakati wa kusaka maisha, kuna kutereza na kuanguka lakini wanaume na wenye hurka za kiume huwa tunasimama tunafuta vumbi na kuendelea na safari. Mda...
6 Reactions
13 Replies
6K Views
Uliuliza hivi kweli mwanamke anaweza kuombwa unyumba kinyume na maumbile na waume zao?. Watu wengi walichangia kwa kulaani na kuhusisha makatazo ya kidini. Ukweli ni kwamba mwanaume ukiwa na...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Neno furaha ni gumu kulielewa kwa lugha ya wenzetu kuna tofauti kati ya happiness na pleasure tofauti yake ni kwamba pleasure ni temporary happiness na happiness ni permanent pleasure hivyo hakuna...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mstaarabu sana, ni Mchamungu, pia mwenye kujali hisia za wanipendao na wanichukiao vilevile. Naomben ushauri. Ninapendwa na kina dada wawili, wote wananipenda sana, tena sana tu...
1 Reactions
47 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…