Ili upate furaha ya milele zingatia yafuatayo

Ili upate furaha ya milele zingatia yafuatayo

bussness

Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
46
Reaction score
20
Neno furaha ni gumu kulielewa kwa lugha ya wenzetu kuna tofauti kati ya happiness na pleasure tofauti yake ni kwamba pleasure ni temporary happiness na happiness ni permanent pleasure hivyo hakuna mtu yeyote mwenye happiness bali tunapata temporary happiness ambayo ni pleasure so how to get happiness there is philosophical argument that in order to get happiness try to have reasoning and contemplation.

Je, ukiwa na pesa hutakuwa na furaha kweli mke mzuri cheo kikubwa kama urais si mtu anakuwa na furaha?

Je, Kuna mtu toka azaliwe hajawahi?
 
Sorry sim imezima sijamaliza kuandika post si mnajua umeme
 
unachotaka kukieleza ni kizuri sema umekosa namna ya kuidadavua ..... furaha wengi hawapati ila pleasure wengi hupata na kudhani ndiyo happiness
 
unachotaka kukieleza ni kizuri sema umekosa namna ya kuidadavua ..... furaha wengi hawapati ila pleasure wengi hupata na kudhani ndiyo happiness

Ni kweli mada yake ni nzuri kama kuna wa kuifatilia. Tatizo lake ni mother tongue syndrome.
Yaani anafikiria kwa lugha ya mama na anajaribu kuandika kwa kiswahili ama kingereza.
Jambo ambalo 'can never go a fingure.'
 
Nadhani ili kichwa cha habari kishabiiane na kiwiliwili ni vyema angekiweka kwenye mfumo wa swali!
 
Ni kweli mada yake ni nzuri kama kuna wa kuifatilia. Tatizo lake ni mother tongue syndrome.
Yaani anafikiria kwa lugha ya mama na anajaribu kuandika kwa kiswahili ama kingereza.
Jambo ambalo 'can never go a fingure.'
next time ataweza kujieleza
 
Furaha ya pesa ipooo na mwisho wa siku pata mapesaaa na huyo mkee na makila kitu alafu ukose mtoto wa kumzaa wewee uonee hiyo furaha kama itakuwa furaha au maigizo machoni mwa watu!
 
Furaha ya kweli inapatikana kwa kumjua mungu, kwa dini yeyete ile..ukizitii kanuni zake hakika utaishi kwa furaha kwani utalizika na hali uliyonayo hataa kama hunapesa za kutosha,
 
Back
Top Bottom