JE WAJUA Kuhusu mapenzi mahusiano na urafiki

JE WAJUA Kuhusu mapenzi mahusiano na urafiki

swahiba daima

Member
Joined
Apr 28, 2015
Posts
97
Reaction score
10
mahususi kwa masuala tajwa ya jukwaa hili. Lolote kuhusu mapenzi na urafiki tupia hapa tafadhali. Naanza
je wajua kuwa natafuta demu
 
Mnawapa kazi Mods kila mda kufuta Mashudu mnayoyaweka.
 
Demu wa kukufanyia kazi nyumbani/ghetto,kupiga naye stori,rafiki wa penseli au msalimiane local radios?Funguka mkuu ung'oe kipusa😀😀:thumbup::thumbup:
 
Hakuna mwanamke anapenda mwanaume mwenye lugha kama yako braza. Badilika.
 
Mapenzi ni wa kusex, mahusian ni kufahamiana na kuamua kujiweka kundi lolote either mahusian y kndugu, rafik, kikaz, kbiashara n.k na urafiki ni wakutambuana katika hal yoyote iwe shida, raha, tabu, n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom