Hi, members of jamiiforums in our society it have seen that many boys are more prefferer to have black girls because they are more attractive than white girls and that is rearity even in our...
Hii imetokea huko hong kong china
fatilia zaidi kwenye hii link hapa chini
kwa video matata ya huyu binti
Hapa akipakwa hiyo rangi kama suruari ya jinzi
ili aingie zake mtaani ...
Nitangulize shukrani ya uzima kwa muumba wa mbingu ....
Nitoe shukrani pia kwa wana Jf kwa ushauri na uzoefu nilioupata humu ...hakika humu ni shule tosha..
Mada yangu ni hii tabia hasa kwa...
Jamani kuna msemo unasema kwamba "wivu ni kidonda ukishiliki ugua pole"
Mimi ni mtoto wa familia nimejionea huu msemo ni kweli baada ya kukatamani kabinti ka kazi (housemaid) na kananikubali ila...
Namshukuru muumba wa mbingu na ardhi ni miezi takribani mitano sasa imepita toka nipate huyu mwanamke wa maisha yangu nimeridhika nae ktk safari ya mapenzi hadi ndoa ni mwanamke mvumilivu na...
Hii kauli nilikua naisikia sana mtaani ila leo ndo nimeamini mwanamke akuzidi vyote kuanzia shape, hips, makeup, kuvaa nk ila maswala ya kiuchumi yaani mkwanja akikuzidi utajuta.
Ukiondoa tembo, twiga na viumbe wengine ambao wapo njiani kutoweka duniani kabisa...ni wanawake weusi nao
.
.
.
.
.
Sijui hawa wanauawa na jangiri gani
Iam 24years old. Na sababu iliyonifanya nitafute mwanamke aliyenizidi umri ni kuwa hawa wanawake ambao ni rika langu wamekuwa hawajui kujali, kuthamini na hata hawana upendo wa kweli. Ninahitaji...
Wadua habari za leo!!
Nipo katika mahusiano na binti ambaye ni muajiriwa wa serikali, ila kinachonisikitisha ni tabia yake ya kuwasema watu wasio na kipato..imekuwa kawaida kwake mpaka kuwasema...
UTENZI WA MAUTI.
1.Nipeni wino mweusi.
Pamoja na karatasi.
Niandike kwa upesi.
Mambo nalowandalia.
2.Ninataka kwa haraka.
Yote nipate andika.
Kabula sijaondoka.
Nikaiaga dunia.
3.Kwa yote...
Nina mpenzi wangu, ambaye anaishi mbali kidogo yani yupo mkoa mwingine, sasa mara ya mwisho tuliwasiliana vizuri, mida ya jioni na aliniaga anaenda kwenye birtday party, kuanzia hapo hakunicheki...
Habari ya weekend wapendwa, mm ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 nna mtoto mmoja na mm ni single parent. Nashukuru Mungu nna kazi nzuri inayonilipa vizuri(private sector)...
Natumaini hamjambo wana jamvi, kuwepo humu ndani fursa ya kufahamiana pia ili kutengeneza upendo na amani zaidi katika jamii yetu kwa njia ya urafiki, karibuni wadada kwa urafiki, nifikishie...
Hello.
Mimi ni kijana wa elimu. Nina degree moja sasa.
Nahitaji mwanamke, awe tayari kupendwa, na yeye apende pia. Kulazimisha mapenzi hapa kwangu hapana.
Nitazingatia sana afya, usiwe na STD...