Nampenda mke wangu mtarajiwa, niombeeni

Nampenda mke wangu mtarajiwa, niombeeni

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,498
Reaction score
28,723
Namshukuru muumba wa mbingu na ardhi ni miezi takribani mitano sasa imepita toka nipate huyu mwanamke wa maisha yangu nimeridhika nae ktk safari ya mapenzi hadi ndoa ni mwanamke mvumilivu na anayejitoa kwa hali na mali juu yangu ijapokuwa hana uwezo mkubwa kifedha.

Japokuwa tunakwaruzana hapa na pale lakini naamini tutafikia malengo nakiri ndio msichana aliyenifundisha mapenzi.Namuombea kwa Mola aniheshimu na kunipenda.Nawaomba wana jf wenzangu mnikumbuke ktk maombi tufike mbali tuoane.

Hilo ndio hitaji na shauku yangu.

I LOVE U MY WIFE TO BE...
 
Oa mapema mkuu wasije wajanja wakamuwahi, wanawake kama hao wamebaki wachache sana
 
Mungu awasimamie mkatimize azma yenu ila muombee asibadilishwe na kupotea kbl na baada ya ndoa.
 
Mwenyezi Mungu sikiliza kwa huruma na upendo sala za huyu mja wako.
 
All the best; treat her well. Mwenyezi Mungu atakujaalia mema inshallah

Ukianza kukusanya mchango wa harusi nitafute.....



Namshukuru muumba Wa mbingu na ardhi....ni miezi takriban mitano sasa imepita toka nipate huyu mwanamke wa maisha yangu.....nimeridhika nae ktk safari ya mapenzi hadi ndoa...ni mwanamke mvumilivu na anayejitoa kwa hali na mali juu yangu ijapokuwa hana uwezo mkubwa kifedha...

Japokuwa tunakwaruzana hapa na pale....lkn naamini tutafikia malengo....nakiri ndio msichana aliyenifundisha mapenzi....

Namuombea kwa Mola aniheshimu na kunipenda....

Nawaomba wana jf wenzangu mnikumbuke ktk maombi tufike mbali tuoane....

Hilo ndio hitaji na shauku yangu...

I LOVE U MY WIFE TO BE...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom