Mwanamke ni MTU moja mzur Sana ,na ukiishi nae kwa akili utamfurahia saaana ,ila ukiishi nae vibaya ukiishiwa utakuja juta Sana sababu mwanamke ni MTU anaeweka makosa moyon na hasahau kwa urahisi Sasa cku ukiishiwa afu akumbuke namna ulivomfanya kipindi cha nyuma lazima uisome namba mkuu