Habarini wana MMU,
Siku kadhaa zilizopita JF ilikumbwa na matatizo ya kiufundi ambayo mods wamesema ni kutokana na mashambulizi sijui kutoka wapi (mimi sio mtaalam sana wa IT)
Kama ilivyo kwa...
Kama mwanaume una miguu, baiskeli au bodaboda utabakia kuwaona warembo tu kwa macho mjini.
Mjini raha kwa wenye nazoo, mjini raha, UCHAWI MKUBWA YAANI WAREMBO WANAPIGANA VIKUMBO KILA KUKICHA...
Nakiri nimekuwa inspirered kuleta uzi huu kutokana na uzi wa mwanamaumivu mwenzangu Surupwenye
Paulina mamii!, umenifanya niwachukie wanawake wote duniani! Coz of u!
Nimekusomesha mamii, Songe...
Kama wewe ni mwanamke ambae hujafanya tendo la ndoa siku nying na ungependa ufanye kwa sababu hamu imekuzidia au hukuwah kufanya na unahitaji ufanye kwa uharaka.usihofu dokta yupo atakae...
Leo tunazungumza kuhusu mapenzi kama kawaida yetu. Leo nimekuja namada ambayo naamini itawagusa wengi. Marafiki zangu, kusaidia katika mapenzi ni jambo zuri tena lenye mantiki sana.
Suala la...
Imefikia muda ata kutongoza tena naogopa kwani nahofia ata nikimpata atanikimbia kwani imekua ni kawaida yao kunikimbia sababu kubwa hasa ikiwa ni kuwa naomba game kila siku napisha siku za mwezi...
Matumizi mabaya ya kondom ni pamoja na kuivaa kwa kuigeuza, kuivaa nusu, kuitoboa wakati wa kuvaa na kuitoa kabla ya wakati.
Chukuwa tahadhari mwanaMMU
Kwa wale wote wenye wapenzi wao ambayo roho inasita kama indicator inavyo zima na kuwaka!
Najaribu kuchunguza na nikiwa najiweka kwenye hili pia naona watu wengi wanataka mahusiano na watu ambao...
Miezi kadhaa imepita tangu niwe nae ambapo mama alimleta ili anisaidie kwa kuwa nina mtoto mdogo ambae nilimchukua kwa mwamamke ambae alikuaga mpenzi wangu tukaachana.
Ninachomshukuru ni kwamba...
Hakuna asiyetamani maisha ya amani na kuaminiana kwenye ndoa,pia ukiwa kwenye mahusiano mtangulize MUNGU.
Ni jambo la kupendeza siku ya ibada/sala umekaa na mkeo mkiomba na kusali,kumshukuru...
Habari zenu humu ndani?
Baada ya salamu, usishangae asilimia hizo, nianze na wewe huyo mwenza wako una mfikisha kileleni?Au unapanda na kushuka kama upo Tabora unaendesha baiskeli.
Hawa dada...
Semen is best known for what?s not absorbed by the vagina, sperm, which swim through it on their way into the fallopian tubes where fertilization takes place. But, did you know sperm comprises...
Mpo?
Ni ukweli usio na pingamizi japo mchungu kuwa mwanamke anakomaa kiakili kuliko mwanaume.
Mwanamke wa miaka 20 ana akili sawa na mwanaume wa miaka 28.
Hii imekuwa sababu kubwa ya...
Ukiachilia mbali uzuri wa mtu, tabia yake, utanashati na mengine mengi, kila mwanaume ana ladha anayoitafuta kwa mwanamke anayemtaka. Hii inatofautiana kati ya mtu na mtu, siwezi kuongelea nini...
Ni ishara gani muhimu zita kuonyesha kuwa msichana unayetaka kuanzisha nae mahusiano sivyo kama unavyo dhania bali mzenguaji, mambo mengi au basi kwa urahisi kabisa haja tulia.
Dalili ya mvua...
Kuna madhara gani kiafya mtu ukifanya magoli matatu kwa mpigo.
Namaanisha hamna kabisa mda wa kupumzika kati ya goli moja na jingine, sio kwa kutumia dawa.
Kuna mtu anataka kujua.
Hi,j JF member.
Mimi ni mwanaume natafuta rafiki wa kike baadae awe mke wa kuoa nitaeishi nae kwa miaka yote.Awe mtiifu,mkweli mwenye mapenzi ya dhati.
Karibuni sana ni Pm kwa mawasiliano zaidi
JF....!
Comrades wa MMU mara nyingi nimekuwa mpitaj ktk forum hii lakin leo nimeamua nitoe yale yaliyo moyoni mwangu ili nipate msaada wa majibu yanayonitatiza kimahusiano kwa mm kama kijana...