Tafadhali raisi okoa mamilioni ya pesa zinazolipwa kununulia thamani za nyumbani kwa maafisa wa mashirika ya umma kwa kila mtendaji mkuu analipwa sio chini ya 18m,wakurugenzi wa idara 16
Ni binti mzuri kwa muonekano na anaonekana mpole lakini kinachoniogopesha mara yetu ya kwanza kuonana ilikuwa kwa mganga wa kienyeji mpaka sasa hakuna aliyemuuliza mwenzake alienda pale kwa shida...
Wakuu hamjambo?
Naomba niwasumbue kidogo,
Mimi ni HR business partner, umri wangu nipo kwenye late 30's, sijaoa ila naishi na mwanamke ambae kwa sasa ni mjamzito, mipango ikienda vizuri na...
Natafuta mke mwenye maumbukizi ya UKIMWI awe mtu mzima angalau awe na umri kuanzia miaka 40 na kuendelea mimi pia mtu mzima!mawasiliano ni sekenemboh@gmail.com au PM
Katika pitapita zangu kwenye hii dunia ya Mungu na sisi ndo wakaaji wake nimepata kujua kupitia kujifunza kwa ndugu zangu, dada zangu ambapo kila kukicha wao wanakuja na mambo mapya na pengine...
Habari zenu,
Nimekua nikisikia kwa baadhi ya wasichana tofauti tofauti wakiongea kuhusiana na wanaume ambao wamekuwa waongeaji yani maneno mengi na wanaopenda kujisifia kuhusu kugegedana/kufanya...
Wadau,
Naomba ushauri.
Nimegundua mwenendo wa mke wangu kuwa ni msiri mno juu ya mambo kadhaa na hata yale yanayotakiwa niyajue au niyatolee uamuzi, zaidi pia nimegundua ni muongo sana na...
Habari wanajf,
Kwanini nowdays wanaume watu wazima ambao wengi wao wapo ndani ya ndoa wameshika kasi ya kutongoza mabinti wadogo ambao wengine ni sawa na watoto wao wa kuwazaa kabisa, kitu gani...
Habari wanajf,
Mimi nina mamdogo wangu ambaye ni mdogo wake na mama hapa katikati walitengana na mumewe na mpaka sasa hawajarudiana.
Baada ya kutengana na mumewe mamdogo na watoto wake watatu...
Habarini...hivi ni sahihi kwa wapenzi ambao uhusiano wao haujajulikana bado kwa pande zote mbili nikimaanisha kwa mwanamke hawamtambui mwanaume na kwa mwanaume hawamtambui mwanamke,je ni sahihi...
Kama huna moyo wa chuma, usioe ndoa inataka wanaume sio wavulana.
Ndio mana ndoa nyingi siku hizi hazidumu pia biblia inasema enyi wanaume ishini na wake zake kwa akili otherwise ndoa...
Salaam wana MMU,
Uchumba mwingi na hata ndoa zinavunjika kila siku na sababu kubwa ikiwa ni madai ya watu kutokuendana kitabia.
Basi wana MMU tutumie nafasi yetu kuorodhesha hizo tabia...
Vipi wadau?
Siku nyingi ila si kwa ubaya. Kazi ndio zimekuwa kibao.
Nina huyu workmate ambaye bado hajaoa, hivi juzi juzi alipata demu kitu kipya ambacho anataka kukioa. Tatizo ni kwamba...
Mimi ni mwathirika wa kufanya mapenzi wa usiku,i la nikimaliza tu kupiga bao moja, usingizi huwa unapotea kabisa.
Hivyo naombeni msaada nifanyeje ili niwe napata usingizi baada ya kupiga bao.
Leo nilkua na shost yangu fulani hivi sasa katika mazungumzo yetu akaanza nipa stori za chumbani, akadai ye kuna mpenzi wake mmoja ambaye hata amfanyie nini hawezi kumwacha.
Ikabidi nimuulize...
Ni stori ndefu, naomba isiwachoshe kusoma. Iko hivi:-
Mimi ni mtumishi serikalini. Ni mtu mzima nikiwa na miaka 36. Siku moja nikiwa safarini kwa basi nikitokea Morogoro seat jirani yangu...