Wanawake: Hivi vitu mnavyo kweli au maneno tu?

Wanawake: Hivi vitu mnavyo kweli au maneno tu?

Tasbeeh313

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
1,919
Reaction score
2,056
1. TAMAA zenu
Mnaweza kumtamani mwanamme yeyote kimapenzi isipokuwa mama zetu tuu
5TBgcHff5M8XFq0bZafPByn8XXP52dN0T1STu1AAAAAElFTkSuQmCC
hawawezi fanya hivyoo

2. KUHUSU Hulka zenu
Huwa mnaonyesha upendo wazi wazi kwa mwanammeisipokuwa kwa wale ambao wamewahi kutendwa tuuu hawawezi fanya hivyo sababu huwezi kung'atwa na nyoka mara 2 katika shimo oja hilohilo.

3. Kuhusu kuacha kwenu
Mwanamme kumuacha msichana anaempenda ni kama simba kumsamehe swala,,lakini mwanammke kumuacha mwanamme ni rahisi kama swala kumkimbia simba mzee hasaa dume

4. KUHUSU Tabia zenu
mi nahisi tuachane na maneneo ya vijiweni eti wanawake wote ni sawa hapana sio lakini tusisahau kuwamwanamke ni mwanammke tuu

5. KUHUSU Uongo
Wahenga walisema ukweli unauma mnasisi tunasema uongo unaua, ndio maana lazima mdanganywe eti ili wawapate kilahisi tuu

6. KUHUSU Usaliti wenu
eti kwani lazima mwanaume ajiandae kusalitiw akiwa amepata mpenzi kwa kuwa wanawake ni onja onja ili utesti wapi unafitina kama wasipo jiandaa unaweza ukafanya kitu ambacho kitakughalimu maishaa..come one ladies whats wrong

7. KUHUSU Kuolewa kwenu jinsi mnavyo angalia
Ni muhimu kuoa lakini ni vigumukumjua mke mwema wanasema ukipata mke mwema utakuwa na fura lakini ukimpata mke mbaya autakuwa mwanafalsafa

8. Kuhusu mpenzi wako wa zamani

Yaani ladys, eti kujalibu kumsahau mpenzi wako wa zamani ( ex-boy),eti ni kama kumkumbuka mtu usie mjua ni ngumu hasaa,,eti tena ukizingatia yeye ndo aliye niachaa

9. Kuhusu kuwajua nyie

Wanasema ukitaka kujua na kumchambua mwanamke ni kama kujaribu kuhesabu nywele za kicwani kwako hata ukianza kuhesabu utafikia hatua utajichanganya tuu, utapata stress za haraka ..kwa wanawake hawasomeki au kuchunguzwa ...cha msingi wapewe nafasi waseme wao ili ukitaka kuwajua tufanye vitu gani ili wajulikane.

10. Eti wanawake ni zaidi ya wanavyofikiliwa.

Katika kujichanganya na wanawake huwa wana vigezo vyao wanavyoangalia kwa mwanamme na sio wanakurupuka kama wanavyo dhaniwa , kama vilee;

-Elimu ya mwanme
-Muonekano wa mwanamme ( ingawa sharobaro wengi huwa pesa hawanaga, nguo huazima kwa washkaji wao au pia gari huazima pia wanawake apa ndo hunasa wengi)

-Kipaji cha mwanamme ( kama vile kayumba alivyonyakuwa mzigo wa pesa bss anasema wanawake wanamsumbua eti yeye bado mtoto wanamkuza )

-Wako kwa ajili ya pesa hapa nakubali sababu mtu ukiwa na mshiko huishi kufatwa asee na wanawake.


Mwanammke wa kichaga ni zaidi ya form 6
 
Back
Top Bottom