Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau salaam Wiki kadhaa nyuma kwa huzuni kubwa nilitoa maelezo kuhusu wife ambae on that fateful day tulienda pamoja mlimani city ambapo alikutana na ex wake na kuonesha furaha sana, naomba...
1 Reactions
66 Replies
8K Views
"My boss drove a luxury car everyday and it was my duty to greet him and to open the gates for him, as I worked as a watchman in his villa. But he never responded back to my greetings. One day he...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Hi wana Jf Kama mjuavyo mwaka ndo unayoyoma kuisha hivoo.....msimu wa sikukuu mwaka ndo ushakata hivoo, Leo tushare mwaka huu ulikuaje kwako, Yapi mazuri,Yapi mabaya,ulipanga nini?umefanikiwa...
0 Reactions
133 Replies
12K Views
Salaam zenu, Nikiwa mwana MMU mgeni lakini kwa kipindi nilichokuwa nikishiriki kwa kusoma na kuchangia thread mbalimbali kuna vitu vinanikera navyo na 1.Kuwa na thread nyingi zinazo wa shusha...
1 Reactions
123 Replies
10K Views
Yupi bora kati ya mke ama ndugu?!
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Huu ni mtazamo wangu kutokana na uzoefu wangu baada ya kugegeda mabinti wa pande zote mbili yaani wa-uswazi na wa-kishua katika nyakati tofauti; USWAZI: Tamu ya watoto wa uswahilini...
7 Reactions
55 Replies
13K Views
Wanabodi Habari Zenu. Nimepata Mtihani Kama Sio Majaribu Kwani Mama Yangu Mlezi (Aliyenilea Mpaka Nimekua) Anaumwa Sana Huko Kijijini Kwetu Na Wakati Huohuo Mpenzi Wangu Aliyenizalia Mtoto...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari ya usiku wana JF, Nina mpenzi wangu wa muda mrefu kidogo na tunapendana tu sana na nimepanga kufanya mipango ya harusi hapo mwakani. Tatizo lililopo sasa ni dini yeye Mkristo na mimi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zeinyuuu mabibi na mabwana wa MMU, Poleni na hekaheka za kumaliza mwaka, maana mwisho wa mwaka una mambo wengine wanakesha kwa kufaha wengine wanajuta na kung'ata meno kwa huzuni kila mtu...
4 Reactions
45 Replies
52K Views
Naandika kwa masikitiko makubwa, nahitaji ushauri. Jamani wanaume mtatuua kwa matendo yenu.Ujirembe upike upakue ufanyeje bado mwanaume haridhiki, atatoka nje ya ndoa tuu.Wanawake wa siku hizi...
0 Reactions
149 Replies
14K Views
Kuna mada nimekutana nayo kijiweni jioni hii baada ya kutoka kazini ikanivutia sana Hoja Kali ziliibuka wengine wakawatetea na wengine wakapigilia msumari Mmoja alinistaajabisha sana na...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Kuna baba mmoja dodoma ni family friend wangu. Amefiwa na binti yake alikuwa form three. Hakuwa mgonjwa. Ameangalia season hadi saa tisa usiku alivyoenda kulala akafa usingizini. Saa. Mbili kasoro...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini mimi ni kijana nina miaka arobaini, nilikuwa na mwanamke nikazaa nae watoto wawili tukaachana kwa sababu za kutoelewana na mimi na ndugu majirani, kiufupi ni mwanamke mgomvi sana hawezi...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Na galacha ��SWALI KWA WAVULANA WANAOISHI HOME! Ebu tuambiane ukweli katika hili please! Upo home unaishi na wazazi pamoja na dada yako, sasa msichana wako anakwambia bwana nataka...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Elimu Ya Bure Hii YOU MUST SHARE Sikutegemea kabisa kama angeweza kunifanyia hivi... Siku hizi amebadilika sana... Huyu ni msaliti.... Ni baadhi ya kauli ambazo watu hutumia baada ya kuumizwa na...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna dada mmoja nilikuwa na mahusiano naye siku za nyuma, Kadiri siku zilivyokuwa zinaenda nikaona mwenzangu tabia inabadilika, Nikimuhoji anakuwa mkali kuliko kawaida, yaani kama mwanaume mpole...
2 Reactions
54 Replies
7K Views
Wakuu natumaini wote wazima hivi kwanini wadada wengi wanakuwa wagumu kutoa namba za simu wakiwa kwenye sehemu ya watu wengi kama sokoni, balabalani,kanisani nini sababu?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndoa yangu ni changa na bado nahisi sijaifaidi bado. Kinachonitatiza ni msimamo na tabia za huyu mke wangu. Kama mwanaume huwa naongea nae mara kwa mara kumuelekeza ninachotaka na ninavyohitaji...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
kuna raia kauliza bhana sio mimi. Download Diamond Platinumz_utanipenda? | young sharo Artist: Diamond platinumz. Song: Je utanipenda? Tanta lala laaa La la la la laaaa Mmmmmh...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
nimebadili din 4/9/2015 wazaz wngu bado hawajui . sijawaambia siwez kuwaambia. sijaenda kanisan toka nimebadili din. christmas inakuja lazma wazaz wangu wataniambia tuende pamoja kanisan. sijajua...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…