Qualifier
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,252
- 408
Jamani mazoea yanatabu, ni kawaida yangu kusafiri kikazi lakini safari huwa sio za kukaa muda mrefu kiasi hiki. Leo ninasiku ya nane nipo hapa Moro usingizi umegoma kabisa ninahisi kama nimekosa mahitaji muhimu, kuchepuka sina tabia hiyo nimeplay Musiki kwenye laptop imeisha na sasa ninarudia sipati picha asubuhi itakuwaje nahisi kichwa kizito na kazi bado sijamaliza alimradi full kuboreka.