Habari za majukumu,
Naamini nyote mpo salama, natafuta tafiki wa kiume mwenye hofu ya Mungu, anayejua na kujali thamani ya mtu asiwe mlevi wa pombe wala sigara wala wanawake, awe mkristo. Mwenye...
Nimekutana nayo jana hii nilipomsindikiza jamaa kumsalimia mama wa mwanamke aliyezaa naye. Jamaa lina miaka 56 halafu binti aliyemzalisha ana miaka 24 na mama wa binti ana miaka 49, Mtoto wao...
Tupo mikoa tofauti but Ninazo taarifa na ushahidi tayari kashachomoa mimba tatu za wanaume wengine, nina taarifa zake nyingi kuhusu yanayoendelea kwenye simu yake ila hajui kuwa najua maana kila...
Wakuu,
Wake wa watu ni watamu sana,hata mke wangu pia ni mtamu kwa washkaji wengine.
Siku nne zilizopita nilimtongoza mmama amebinuka trako mke wa mtu akanigomea
Lakini kila nikionana nae...
Ni uongo au kujitoa ufahamu kusema mwanaume hauna akili ya kujua kuwa huyu mwanamke ana red flags za kutosha kukupa mrejesho kuwa hautadumu nae na hatobadilika hata ufanye nini.
Mwezi wa kwanza...
Nasema hivi!
Labda uoe goi goi wenye matatizo ya afya wafanye kupokezana!
Lakini ukichagua wanawake wenye afya zao waliotimia ukaoa wanne ni kazi sana kuwamudu wakitaka haki yao kwa ufasaha hata...
Aisee hili limenishangaza Leo siku ya 3 mpenzi wangu aliye course ya haya mambo ya majeshi ghafla tu unfortunately hajibu message Wala hapokei simu
Rafiki yake wanawasiliana vizuri tu ila Mimi...
Nipeni ushauri,
I'm gal nimedumu katika mahusiano miaka minne, ndani ya miaka hiyo sikuwahi kusaliti mpenzi wangu japo alikuwa akinifanyia visa, matusi na kashfa.
Alinipa mimba mara kadhaa na...
Shikamooni wakubwa wote humu.
Ni weekend tena,siku nzuri ya jumamosi siku ambayo naitumia kupumzika baada ya kazi ngumu ya siku tano.
Ni siku nzuri kwakweli imeambatana na sikukuu kubwa kabisa...
Habari za jioni wapendwa wana Jf (JamiiAfrica )
Natumaini mko salama na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku.
Lengo la kuleta uzi huu usiku huu ni kuona kwa namna gani hii biashara ya...
Nimeona video moja, Shehe kijana akilalamika hapa Dar kuwa wanapitia wakati mgumu sana watumishi wa Mungu kutokana na kuzungukwa na mazingira ya Ngono.
Hii ni kweli na kwa wanaume wa sasa, bila...
Hili suala ya confidence miongoni mwa wanawake nimelifanyia utafiti kwa muda wa miezi sita na nimekuja na conclusion kwamba confidence miongoni mwa wanawake inavary kutoka kwa mwanamke mmoja Hadi...
Hi guys.
Truthfully, I am a night owl for years now. Staying up late, while having to get up early the next morning. I have been walking up a bit tired, dizzy and hard to get productive work...
Ukisikia zali la mentali au dua zime tiki basi ndio hili, maana baada ya kusikia taarifa hii basi naona hii ndio turning point yangu.
Taarifa zenyewe ni kuhusu brother mmoja ambae ni Kama...
Mara ya kwanza tulikutana club sikujua kama ni mke wa mtu, alikuwa amevaa kistaarabu sana kumbe alikuwa ametoka kwenye sendoff party alikuwa ameongozana na wenzake wawili. Nilimtongoza hakukubali...
Anakwambia Mume wake hayupo vizuri kitandani sio?
Anakwambia Mume wake hana muda nae sio?
Anakwambia Mume wake hampi mapenzi kama yako sio?
Anakwambia anakupenda sana eeeh!
Utalia siku moja.
Habari za wakati huu,
Nipo kwenye wakati ambao unanifanya niwe na maswali mengi dhahania, japo uhalisia wa mambo nauona.
Nilipopanga, kuna jamaa ameoa mwanamke ambaye nilikuwa nafahamiana naye...
Wakuu habari za kuamka....
Mwenzenu najiskia vibaya sana sana sana yaani vibaya mnooo.. Natamani hata nisingekua nimeshika simu leo,. Kuna mtu kaweka status "Forever in our hearts" kampost mtu...
Wakuu,
Nina swali ambalo linanisumbua sana, najiuliza ni kwanini wale wasichana wa (wa ukweli} wenye mapenzi ya dhati wanaringa sana?
Kwa mfano unapomtokea lazima akuzungushezungushe ukimtumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.