Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,796
- 49,427
Una mpenzi wako unampenda unamthamini anakukosea unapotezea tu maana unaamini kila mtu ana kasoro inatokea siku anakumwaga ila hujui kosa lako anakuambia tu unajua kuna tabia flani sikuipenda unarewaind mkanda huoni ulichokifanya cha ajabu yes kukosea kupo ila kupewa adhabu ya kofuli forever inauma sana kwa vile mapenzi hayalazimishwi huna la kufanya ila inabidi uuguze pressure kwa muda na maisha yanaendelea.
Sasa najiuliza kuna kosa kweli lilitokea au mtu tu anakuwa na sababu zake anatafuta pa kutokea?Kosa la mtu linaweza kuwa siri kiiivo ushindwe kumuambia flani ulinikosea hivi na hivi jamani?Unamuacha mtu anajiuliza miaka na miaka sio fair at all.