Natafuta mchumba mcha Mungu wa kuoa

Natafuta mchumba mcha Mungu wa kuoa

Sydun

New Member
Joined
Jun 13, 2016
Posts
1
Reaction score
1
Hello WanaJF,

Natafuta mwanamke aliye 'serious' na mahusiano ya kweli atakekuwa mke wangu.
muonekano 'natural beauty',mkweli, mcha Mungu, umri usizidi miaka 26, elimu angalau kidato cha nne,
Elimu yangu ni degree, kipato changu ni cha kati, umri ni miaka 29. Nilikuwa kwenye mahusiano lkn nimempoteza mwenza kwenye ajari ya barabarani.
Tafadhari tuma PM tutajadili mengineyo
 
  • Thanks
Reactions: waj
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
pole mkuu!!!!! mwenzio akirudi mawasiliano nayo yanarud?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom