PETER aliangalia namna ambavyo Baba yake alivyokuwa akikunja uso wakati akimeza kile chakula kilichokuwa kimejaa chumvi. Alimuangalia na mkewe namna alivyokuwa akila kwa wasiwasi akiona aibu kuwa...
Habari wakuu,
Katika pita pita za maisha na mahusiano nimegundua kama kuna kipindi wapenzi hupitia wakati mgumu ni pindi wanapotangaza nia ya kuoana.
Hapo michepuko ndio itataka kujulikana...
Nini mtoto wa miezi kumi. Kuna tabia ameianzisha ambayo inanistaajaabisha Sana. Akiwa kitandani huwa anapenda kukata mauno( kukatika) kama vile anamshugulikia mwanamke na akianza yuko vizuri...
Sababu za wasichana wadogo kuwapenda wanaume waliooa
Kauli ya mhariri: Wizi wa waume si jambo geni. Umesikia au kuona wanawake wakipigana na wanawake wengine kwa madai ya kupokonywa waume zao...
Habarini wana MMU,
Moja kwa moja nianze kumwaga utafiti wangu ambao unamsaada mkubwa katika maiaha yako wewe kaka;
Ndugu wa mwanamke huishi vizuri bila kusumbuliwa katika...
Salaam Waungwana,Poleni na busy day of the week...vipi weekend? Mlitembelea site zenu? Au kujirusha zaidi?, Hongerani najua baazi mmethubutu kutembelea na wengine mnajitahidi kutimiza mambo flani...
Wakuu,
Hivi juzi kati nimempata mchumba though hatujatambulishana kwa wazazi tumekuwa tukiibana kila mtu giza litakapomfikia analala kwa mwenzie.
Ngoja nije kwenye mada nimekuwa nikila kwa mama...
Ni mwaka sasa tangu nilipoamua kumfutia wife majukumu yote ya nyumbani na kumbakishia jukumu moja.
Ni hivi kifupi mimi na wife wote ni watumishi, sasa nimemwambia majukumu yote yanayohusu hela...
Wahenga walisema hivi "Ukiona umeoa mke ambaye sio BIKRA, tambua kuwa umeazima mpenzi wa mtu au huna tofauti na mtu aliyefuga NYOKA kwani ipo siku atakumbuka kurudi polini"
HAYA WAJAMENI KAMA NA...
Kwa hakika nilimpenda kwa kila tone la damu yangu kwa tunu ya roho yangu, sina kazi wala mishe ya uhakikia bali nikuunga unga tu. Ninajisikia uchungu kila ninapokumbuka aliposema" hunijui chupi...
Miaka kadhaa iliyopita wakati nipo katika ujana wangu wa balehe nilifanikiwa kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na wasichana wengi,na ili nimuweke msichana katika kundi la mpenzi wangu ni lazima...
Jamani wakuu,
Mnieleze vizuri kuhusu mahusiano natokea kupendwa na wasichana tena wana nieleza wazi (Jr) nakupenda lakini sijawahi kupima oil alafu umri wangu ndo huo 21yrs. Licha ya kuonekana...
Habari wakuu!!
Naitwa Adnan nilikuwa naomba ushauri kuhusu msichana mmoja nampenda sana na nipo mbioni kuwa nae ila nashangaa juzi naongea nae.
Nakumbuka nilimwambia unafaa kuwa mke bora basi...
Imenukuliwa kutoka katika utafiti wa 'saidia jamii'....
*************************************************
Mimi ni mfanya biashara hapa jijini Dar. siku moja nilipotoka katika mauzo niliamua kwenda...
s
Habari za siku nyingi wapendwa,
Wiki hii nimepata changamoto kutoka kwa ndugu wa karibu, amenijia kunijulisha kwamba anataka kuoa mke wa pili. Nilishtuka kidogo kwa sababu huyu bwana ni...
Siku ya jana nilipokea wito kwenda kumhudumia (first aid), ndugu mmoja aliyepatwa na shida ya kupumua.
Huyu bwana nadhani analotatizo la asthma (allergy) hasa anapokutana na mzingira au vitu...
AINA NANE ZA WANAUME HATARI
1-Asiependa kufanya kazi akisubiri alishwe na mke.
Huyu ni hatari kwa sababu hatokuwa na ujasiri wa kumkemea mke pale anapokosea kwa kukhofia mke asije kasirika na...