Jinsi changudoa alivyoniibia Tshs 1M nyumbani kwangu!

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
Imenukuliwa kutoka katika utafiti wa 'saidia jamii'....
*************************************************
Mimi ni mfanya biashara hapa jijini Dar. siku moja nilipotoka katika mauzo niliamua kwenda kujipongeza na kisha niliamua kupitia 'changudoa' kwani ninaishi mwenyewe nyumbani!

Baada ya kufika nae nyumbani nilimkaribisha vizuri. Niliandaa vinywaji ambavyo nilikuwa navyo katika friji na tukanywa!

Kama unavyojua tena muda wa kula tunda ulipofika tulianza kama desturi ya 'walaji matunda' kwa kuumana midomo n.k

Niliendelea kwa kumnyonya 'manyonyo' yake na wakati zoeti la kunyonya manyonyo likiendelea nilihisi kizunguzungu! Changudoa huyo kuona hivyo akanilazimisha nizame chumvini!!!!!

Nilipokuwa nikielekea huko uvinza nikashindwa hata kufanya kazi husika na hatimaye nilijikuta nipo kitandani peke yangu na ni asubuhi yapata saa tatu hivi.

Baada ya kupata fahamu nikajua tu hapa nimeingizwa 'mjini'....Kweli nilipokimbilia katika droo yangu nikakuta kiasi cha pesa taslimu Tshs 1M zilizokuwa katika droo zimeyeyuka na kuota mbawa! Pia kuna baadhi ya makaratasi yangu ya kibiashara hayaonekani, sasa sijui ni yeye ameyakwapua?

Nilimpigia simu daktari wangu nikamweleza mkasa wote na alikuja akachukua 'sample ya vinywaji' na majibu yaliyotoka maabara ni kwamba havikuwa na dawa yeyote!

Daktari aliniambia kwamba inawezekama changu huyo alijipaka dawa hizo katika mwili wake.....

Je, wadau hivi siku hizi hawa 'viumbe' ndiyo wameamua kutuibia kwa style hii? Na je nini kifanyike kukabiliana nao?

Je, nikaripoti polisi tukio hili? (labda ninaweza kukutana naye huyo changu kwani mpaka sasa simjui anatoka wapi na wala anaishi wapi!).

@mchango wako unahitajika (true story)
 
Huyu ni changu umeamua kumchukua nyumbani kwako. Hujui kalambwa na wangapi kwa siku hiyo haraka ya nini si mngeoga kwanza? Mijasho ya siku nzima we unaanza tu kulambalamba . Pole ila ndo fundisho
 
Huyu ni changu umeamua kumchukua nyumbani kwako. Hujui kalambwa na wangapi kwa siku hiyo haraka ya nini si mngeoga kwanza? Mijasho ya siku nzima we unaanza tu kulambalamba . Pole ila ndo fundisho

mie nashangaa eti wakaanza kulana mate mala anaambiwa aende chumvini na yeye anaelekea kuna watu wana moyo wameshajitoa fahamu kabisa ..Changu !
 
Kama unavyojua tena muda wa kula tunda ulipofika tulianza kama desturi ya 'walaji matunda' kwa kuumana midomo n.k

Ulihakikisha kuwa ameswaki anagalau hata kwa kumwazima mswaki wako?

Niliendelea kwa kumnyonya 'manyonyo' yake na wakati zoeti la kunyonya manyonyo likiendelea nilihisi kizunguzungu! Changudoa huyo kuona hivyo akanilazimisha nizame chumvini!!!!!

Nilipokuwa nikielekea huko uvinza nikashindwa hata kufanya kazi husika na hatimaye nilijikuta nipo kitandani peke yangu na ni asubuhi yapata saa tatu hivi.

Pole sana ndugu yangu; hivi hata kama una ukame kiasi gani unaanzaje kumshukia Uvinza Changudoa; ama ni mkeo kwa maana umekuwa ukimchukua changu huyu kila siku; kiasi cha kujiaminisha hivyo!

Je, wadau hivi siku hizi hawa 'viumbe' ndiyo wameamua kutuibia kwa style hii? Na je nini kifanyike kukabiliana nao?

Wengi wao wapo hapo kwa ajili ya dhiki na akibahatika kama huyo wanapatia mitaji na wengine nasikia wanaolewa kabisa! Sasa huyu weye umempa mtaji; kukabiliana nao ni wewe kuanzia leo uache kabisa kwenda huko maskani kwao; hiyo pesa ichukulie kama zawadi kwake na la pili tafuta mtu wa maana umuoe kabisa! nakwambia hili onyo toka kwa Mungu wako; mwingine angekukodia majambazi wakupore kila kitu na hata kukudhuru! Hivyo umshukuru kuwa huyo nia yake ilikuwa ni mtaji na kwakweli ana roho nzuri kwa kukuachia uhai wako!

Je, nikaripoti polisi tukio hili? (labda ninaweza kukutana naye huyo changu kwani mpaka sasa simjui anatoka wapi na wala anaishi wapi!).

:D...Acha utoto wewe; ukaripoti kitu gani kuwa kwa uzembe wako ulimwokota mtu barabarani ukamakaribisha nyumbani na kisha ukaamua kustarehe naye naye amekuibia; kwanza kama mie ni plisi nakuweka wewe ndani kwa masaa kadhaa ili ujifunze! Umempa mwenyewe huyo wala usijitie unaumia kwa kuwa amekwapua hela na dokument zako!

Tafuta mke oa!
 
Huyu ni changu umeamua kumchukua nyumbani kwako. Hujui kalambwa na wangapi kwa siku hiyo haraka ya nini si mngeoga kwanza? Mijasho ya siku nzima we unaanza tu kulambalamba . Pole ila ndo fundisho

Hata kama wangeoga bado ni kichefuchefu, hiwezekani kumlamba changu chumvini wala kula denda naye. Kama unaona umezidiwa, vaa condom na pia hakuna kuzama zaidi, hakikisha kondom yako unaiona kwa macho. We kijana yawezekana elimu kuhusu VVU/UKIMWI kwako bado ndoto?? kazi kwelikweli.
 
no komenti hapo, HUYO JAMAA KWA KWELI SIJUI HATA NISEMEJE.
CHUMVINI HADI KWA CHANGUDOA??????????????????????????????????????????????
DAH, TOO BAD AND TOO SAD INDEED.
 
Mmh!mm binafsi sijaona maana ya thread yako am sorry km utajisikia vby sanasana nimeelewa ulikuwa unajitangazia sifa chafu ya kutembea na michangudoa au ni fashion siku hizi?siku hizi mm naona watu wanakosa hata vitu vya kuleta jamvini sasa wewe unaomba msaada au???na msaada gn mm naona kakukomesha badala ya kujiheshimu utafute kifaa utulie nacho unajisifia eti nikapitia kwa machangudoa.walai km mm singejitangaza duh sorry sikutegemea kukujibu hivi ila ni mawazo yangu tu.
 
JF wapi tunakwenda jamani, mbona siku hizi credibility ya jamvi ipo matatani? ssa hapa tuchangie nini? hata mtoto mdogo hazwezi fanya kitu km hicho
 
Sikupi pole wala nini. Wewe huna kinyaa na kuibiwa ni sawasawa.
Siku hizi wanapaka dawa fulani kwenye matiti ukilamba tu unalala, ni madawa ya kulevya. Ukiona tu anakwambia - nyonya matiti, unalazwa flaaat, unaibiwa
 
no komenti hapo, HUYO JAMAA KWA KWELI SIJUI HATA NISEMEJE.
CHUMVINI HADI KWA CHANGUDOA??????????????????????????????????????????????
DAH, TOO BAD AND TOO SAD INDEED.

Hongera Mkuu,
Hiyo Avatar yako nimeipenda, iko relevant sana kwa Geoff, bibi kapata bwana, bwana kapata bibi.
 
Duh unampeleka Changu nyumbani kwako? Unataka umlingishie kuwa unanyumba au?
Utazamaje chumvini kwa changu bana?? unajua pipelenji ngapi zinapita hapo kwa siku?
 
Unataka nini sasa hapa haswa!

Wewe ni mchafu, unastahili ulichopata bila huruma wala nini

Ukiendelea na tabia yako hii chafu isiyofaa utavuna zaidi ya hiyo..ukimwi, kuibiwa na hata kifo cha fedheha

Wasichana wote Dar, unaenda kwa machangu! stupidity period!
 
Back
Top Bottom