concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 3,314
- 6,511
Nini mtoto wa miezi kumi. Kuna tabia ameianzisha ambayo inanistaajaabisha Sana. Akiwa kitandani huwa anapenda kukata mauno( kukatika) kama vile anamshugulikia mwanamke na akianza yuko vizuri kweli. Hatujawahi fanya akiwepo ndani . Tukitaka kutoana uchovu, Mara nyingi tunampeleka kucheza na bibi yake. Sasa sijui ameona wapi ?
Je ni hali ya kawaida kwa watoto wa kiume?
Je ni hali ya kawaida kwa watoto wa kiume?