dekitambi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 663
- 764
Habarini wana MMU,
Moja kwa moja nianze kumwaga utafiti wangu ambao unamsaada mkubwa katika maiaha yako wewe kaka;
Ndugu wa mwanamke huishi vizuri bila kusumbuliwa katika familia
lakini hali huwa kinyume kwa ndugu wa mwanaume
Hii ni kwa sababu wanawake wote huwa na tabia ya kujali ndugu zao na hawawezi kubadilika sababu nduo asili yao.
Ewe kaka utaoaa mno utafukuza mno wanawake hao ndivyo walivyo,
punguza idadi ya ndugu zako kwako ili udumu na mkeo.
Na wewe ndugu wa mwanaume tafuta kwako.
Unaruhusiwa kuongeza fact zingine kuhusu hawa viumbe.