Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za Asubuhi wakuu Kwanza kabisa mm binafsi sijawahi kutoa post yoyote kwenye jukwaa hili ila Leo nimekuja kuomba ushauri, Mimi ni msichana mwenye miaka 25 nipo mbeya kikazi, mnamo Mwaka huu...
1 Reactions
99 Replies
12K Views
Heshima kwenu wakubwa zangu wa jukwaa hili na marahaba kwa wale wote niliowatangulia kuliona jua. Mimi na mke wangu tumefunga ndoa takatifu wiki moja iliyopita, hivyo tukapanga tukatembee nchini...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Haijalishi ukubwa wa harusi uliyofanya kitu cha muhimu ni unachokwenda kukijenga baada ya harusi, baada ya watu wote kuondoka na kuwaacha peke yenu mwende nyumbani, mkaanzishe maisha yenu...
1 Reactions
0 Replies
932 Views
Wakuu habari za muda kidogoo/ Hii imenitokea janaa, baada ya kumaliza masomo yangu shahada ya kwanza. Tukiwa mimi, baba na mama katika kahoteli kamoja hapa mjini tukipata nyama choma na vinywaji...
2 Reactions
83 Replies
8K Views
I'm a 22yrs old lady looking out for a man who would be real, trustworthy, caring, loving, smart in and out, open minded, humbled, good in mind and above all a God fearing person with a good...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Ambonyi, Nimepokea malalamiko toka kwa mke wa jamaa yangu kuwa leo hii ni wiki tangu ameamua kurudi kwao na kutengana rasmi na mumewe. Sababu aliyotoa kubwa ni ulevi wa Mara kwa Mara wa jamaa na...
5 Reactions
110 Replies
8K Views
Members mimi huwa najiuliza kwanini wanawake waliofanikiwa kimaisha kwamaana wana pesa za kuendesha maisha yao, wanawake maarufu(aidha kisiasa,kimitindo au kisanaaa) huwa idadi kubwa hawaolewi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana wakati narudi Home nlikuwa na shabani jamaa yangu kwenye gari akawa ananipa story kuwa ofisini kwao wameajiri receptionist mpya. anasema tayari anataka "kumla" ngoja asimulie kisa chenyewe...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Hii ni kwa wale watakao-declare interest kuwa aliwahi/waliwahi ama bado wana mchezo wa kujichua au kupiga punyeto (maana najua kuwa wengi wetu ambao wamewahi kufanya haka kamchezo wanaona sana...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Sasa wewe endelea kuimba wimbo wa hainaga ushemeji. Na mhusika naye atakujibu hainaga ushemeji kwa style hii. Umepata nini sasa? Heshimu wake za wenzio ukishindwa nenda kajikimu kwa namna nyingine.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu mambo vipi kuna jamaa yangu alikutana na duu leo anakaa kitaani kwetu, akamuita wakawa wanaongea baada ya hapo jamaa yangu akampa hela sh: 50,000/= atumie kwa matumizi yake binafsi yule...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21. Nilianza kuwasiliana na mwanaume nisiyemjua tangu mwaka 2013. Mwanaume huyu anadai ananipenda na nikimuomba hela ananitumia na anaponiambia tuonane moyo...
2 Reactions
163 Replies
23K Views
Mwanzoni ulikuwa single, baadaye ukafunga ndoa na mwenzi wako... Hivi katika ofisi au popote pale, ile hali ya kujichanganya na ambao hawajaoa/olewa inafika mahali unakuwa mbali nao, au unajiona...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kusema ukweli nionapo binti aliyejazia mzigo yaani makalio huwa napata shida na yule jamaa aliyenyimwa kofia kichwani anaanza kupiga mikele. Ndipo nilipogundua ugonjwa wangu kuwa ni wa maeneo...
2 Reactions
211 Replies
86K Views
Kwenu wanawake wa MMU, habarii.. Nauliza, hivi zile sifa za mrefu, mweusi flani, nk hamtaki tena. Naona siku hizi kigezo kikuu ni 35+ Kibaya zaidi eti awe single, asiwe na mtoto zaidi ya1...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Nilikua kwenye mahusiano yasiyo rasmi na mwanaume mmoja ambaye sasa namuona kama mume mtarajiwa, ila kabla mahusiano yetu hayajakomaa niligundua anamfuatilia binti mmoja ambaye wanakaa karibu...
5 Reactions
53 Replies
5K Views
Wajameni, hili swala sio dogo. Mpenzi wangu, ambae nina malengo ya kufika mbali naye, ana kaka yake ambae yapata mwezi tangu anitambulishe kwake, Cha kushangaza, siku chache baada ya...
0 Reactions
159 Replies
33K Views
Hi, Am 18 yrs now, nina rafiki yangu mtanzania from Canada, we use to chat with kualezana our strengths and weaknesses. Alikuwa hawezi kukaa 5 mins bila kuchat na mimi via Whatsapp. Ilifika...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Kuna jamaa angu ni mkurya mwenzangu,juzi kati kapeleka mchumba kumtambulisha kwao huko musoma na huyu mchumba ni hawa tunaokutana nao huku mijini,kwa maelezo ya jamaa,siku hyo wamefika kwao huko...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
habarini wakuu Hawa wadada wasikuhizi ni hatari sana,kwao mizinga imekua kama fashion,ukikaa vibaya utaliwa hela zako na papuchi usipewe,hivyo basi jali muda bwa sheee nakumbuka nilikutana na...
8 Reactions
63 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…