Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za jumapili wapendwa, bila shaka sote tu wazima wa afya na wale ambao afya zao zina mushkeli Mungu awatie nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. Kila mmoja wetu anatamani au...
5 Reactions
13 Replies
8K Views
Najiuliza kwa ndugu zangu wanyaturu, wakurya, wamasai au wagogo ambao wanafyeka (keketa) sasa sijui itakuwaje Na huko tunakoelekia hizo critometer zikifika nchini itabidi ndoa (wapenzi) nyingi...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Mimi ni kijana nilikuwa nasoma nje ya East Africa na nilikutana na huyu mwanamke katika mazingira ya kusaidiana maana mi nilikuwa mwenyeji katika mji huo na alikuja katika eneo karibu nilikokuwa...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Wengi tunajua kuwa masomo ya sekondari vijana wengi huanza kupevuka akili hapo kuna jamaa mmoja anaitwa STUNTER kipindi anasoma kidato cha kwanza shule moja hivi st. kayumba alimpenda binti mmoja...
4 Reactions
47 Replies
7K Views
Wakubwa zangu shikamoni, Niliamua kutulia na msichana mmoja tu nikaamua nitulie nae huyo, kiukweli nampenda sana mpaka nimeamua kuwa mwaminifu kwake. Jana alinielekeza kuwa nimekuwa muwazi sana...
4 Reactions
42 Replies
7K Views
Nawachukia sana wanawake waigizaji kwenye mapenzi ,kitandani uniigizie ,hata maisha ya kawaida pia uniigizie? Eti oooh!! Mi sipendi pesa zako na hukuti hata siku moja anakuomba hata mia tano ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari kwenu wana JF Hivi ukiwa umetulia zako unajisomea gazeti mara ikaingia text kwenye simu yako inasomeka "kuanzia leo mimi na wewe basi usinitafute" Kwa mshangao unajibu kumwambia sababu ni...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari zenu WanaJF: Ujumbe huu ni kwa rafiki yangu na wengine wenye tabia kama zake. Mtaniuliza kwanini nisimfuate nimwambie uso kwa uso, mwanamke yule anaongea akinisema na jinsi sina maneno...
20 Reactions
259 Replies
23K Views
Rejea tu kichwa cha habari hapo juu na karibu " utiririke ".
1 Reactions
106 Replies
15K Views
Mabibi na mabwana wa JF salam! Ni imani yangu kwamba mmekuwa na weekend njema na yenye utulivu nawapongeza sana na poleni kwa mliokumbwa na dhoruba za maisha kama mimi.Binafsi hii weekend haijawa...
38 Reactions
532 Replies
39K Views
Huyu dada namfahamu toka tukiwa sekondari, sema yeye tu alinizidi kidato kimoja, nilikuwa nampenda sana sema ndo hivyo alikuwa anajiona matawi ya juu sana nami of course nilikuwa matawi ya juu...
12 Reactions
48 Replies
6K Views
Kuamua kuchukua maamuzi ya kubadilisha wapenzi kila mara ili kushindana ex wako ni kujidharirisha tu. Mi naamini mwanamke ni kiumbe chenye staha kuliko mwanaume. Tafuta pesa kama habari ya mume...
21 Reactions
56 Replies
7K Views
Wanajamvi ushauri tafadhali, Nilibrake na mtu miezi kadhaa uchungu niliokuwa nao ulikuwa mkubwa sana stuntman kuwa na uhusiano wowote. Mtu aliniacha yeye. Nilikuwa nalia hasubuhi na usku yan...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimekuwa Namsifia mpaka wife ananistukia Anasema kuwa mimi na mdogo wake tunaenda na kitabia. Kila wakati natazama picha zake japo mawasiliano yetu yako limited kwenye whatsapp...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau tuache masikhara nawataahadharisha mapema. Hivi ikitokea mpenzi wako wa mda mrefu au mkeo amekusaliti na kuomba umsamehe harudii tena. Je utaweza kumsamehe? Je sababu ya kumsamehe itakuwa...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Katika safari zetu za mahusiano tunapita katika hatua mbalimbali zikiwa kama changamoto kabla ya kuwapata wale wa kuishi nao milele/mke/mme. Wako waliotamani kuoa/kuolewa na...
0 Reactions
3 Replies
858 Views
Habari zenu wakuu wa MMU. Ni matumaini yangu kuwa mko poa wote. Lengo kubwa la kuanzisha huu Uzi ni kumuomba msamaha ex gf wangu tulieachana nae mwaka 2014. Sio kwamba nataka turudiane bali ni...
12 Reactions
380 Replies
25K Views
ASALAAM WAKUU, Ni hivi nina mchumba nipo nae mwaka wa tatu hu, tatizo kubwa ndio hilo yaani aibu kwangu haikatiki tangu nimtokee, athubutu kuongea nami live ila kwenye simu tu anaongea maneno...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
I like this kind of reletionship, nimeshindwa kuachaa kwa kweli Nilianza haka katabia nikiwa form 6, nilikuwa na demu waku ambaye alikuwa anarafiki yake wanasisoma nae. Nilijikuta nimemtongoza...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…