Let's be sincere

Let's be sincere

oncogene

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
306
Reaction score
157
1474136960778.jpg
 
Hawajatulia kabisa wanatongoza kama hawana akili nzuri Na bado unakuta ana mke mzuri hawaridhikagi
 
Hawaachi kutongoza hata kama ana mke mzuri kama malaika bado atatongoza nje.

Hii sio kwa wanaume wa Tanzania tu, bali ni sifa ya wanaume wote duniani mfano mzuri ni Prince Charles alivyokua na mke wake marehemu Princess Diana lakini bado alikua anachepuka na Camilla.. Ni maumbile tu ya mwanaume ndo yanapelekea kutest zali la mentali.
 
Hii sio kwa wanaume wa Tanzania tu, bali ni sifa ya wanaume wote duniani mfano mzuri ni Prince Charles alivyokua na mke wake marehemu Princess Diana lakini bado alikua anachepuka na Camilla.. Ni maumbile tu ya mwanaume ndo yanapelekea kutest zali la mentali.
Ile case ya Diane, Camilla na Prince Charles ni nyingine kabisa mkuu, ilianza hivi; Camilla ni akiwa mtoto wa major baada ya kumaliza secondary alikwenda France kwa further studies lakini alikuwa ameshaanza kumdate Parker Bowles, wakati akiwa France Parker Bowles alikata utepe wa Princess Anne, Camilla aliposikia aliumia sana na aliapa atalipiza kisasi, na yeye alihakikisha amembikiri Prince Charles. Hawakuweza kuoana kwa tofauti ya umri na imani ya dini, Camilla alikuwa mkatoliki. Sasa uone connection aliyonayo Charles kwa Camilla.
 
uzuri mke haumfanyi mwanaume aridhike tena wanawake wazuri wengi ni mbumbumbu kichwan....mwanaume anataka uzuri lkn pia hujielewe kichwani sio migubugubu,kiburi ht kuhudumia watoto huwezi we ni mburula tu ndani yaan kazi kuleta mauzi na kuvimbisha msura wako
 
Wanapenda wanawake wazuri lakini hawapend gharama zao,lakin hawashangai kuona gari zuri lenye gharama linakula mafuta sana kwa kilomita chacha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom