Kipi bora pesa na makalio mazuri au sura nzuri na tabia nzuri?

jorochere95

JF-Expert Member
Oct 27, 2015
294
152
Wana JF napenda kutumia fursa hii kuomba kupata ushauri wenu.mm kijana ambaye Nina maisha ya kawaida sana.kama ilivyo desturi unapofika muda fulani ,kama kijana inakubidi kuwa Na mke !

Katika harakati za kuoa nime bahatika kupata mabinti wawili.wa kwanza ana sura mbaya sana ila ana pesa zake Na biashara yake nzuri .Mara nyingi amekuwa akinitoa "out" Na kunihonga sana lakini tabia yake cijaipenda sana.

Wa pili ana tabia nzuri sana Na sura nzuri pia ila hana mbele wala nyuma Na inasemekana kwao ni maskini wa kutupa

Sasa ndugu zanguni naombeni ushauri wenu kabla ya kufanya maamuzi naogopa kujuta baadaye

Asanteni sana J/pili njema.
 
Follow your heart!
 
Tabia nzuri ndio kila kitu mkuu. ..
Kama huamin kuwa na demu mzuri alaf kicheche ndo utapata majibu

Japo demu akiwa na combination ya TABIA NZURI + MZIGO (NEEMA ZA ALLAH) + SURA NZURI- inakua imekaa njema sanaaa
 
Nikupe siri moja kaka, Tabia ya mtu ni function of pesa alizonazo. Siku moja huyo asiye Na mbele wala nyuma akipata pesa Anaweza asiwe Na hiyo tabia unayomuona nayo sasa! Na hata huyo aliyefanana Na baba yake Siku akikosa hela anaweza kuwa mpole kuliko malaika! Be careful
 
We unampenda yupi kwani, maana hujasema unaempenda. We fuata moyo wako visije vikabuma ukasema wana JF ndo walikushauri
 
Mwanamke ni chura Mkuu.

Hakika hautaboreka hata siku moja.

Ukiona inavyonesanesa tu mambo yanakuwa mororo.

Tafuta mwanamke mzuri mwenye changamoto nyingi ndiyo utawahi kupata pesa nyingi.
 
Wana JF napenda kutumia fursa hii kuomba kupata ushauri wenu.mm kijana ambaye Nina maisha ya kawaida sana.kama ilivyo desturi unapofika muda fulani ,kama kijana inakubidi kuwa Na mke !

Katika harakati za kuoa nime bahatika kupata mabinti wawili.wa kwanza ana sura mbaya sana ila ana pesa zake Na biashara yake nzuri .Mara nyingi amekuwa akinitoa "out" Na kunihonga sana lakini tabia yake cijaipenda sana.

Wa pili ana tabia nzuri sana Na sura nzuri pia ila hana mbele wala nyuma Na inasemekana kwao ni maskini wa kutupa

Sasa ndugu zanguni naombeni ushauri wenu kabla ya kufanya maamuzi naogopa kujuta baadaye

Asanteni sana J/pili njema.
Wavulana wa sasa mnapenda kitonga ganda la ndizi hatari
 
We kama unaoa pesa just go for it utaona mziki wake mkishafika ndani. Ila kama unatafuta mke oa mke. Maisha ya pesa mtatengeneza... pesa inatafutwa mkuu.
 
Sura mbaya lakini anamzigo wa tacko

1474203033992.jpg
 
Back
Top Bottom