Amini usiamini Nigeria ina upungufu wa wanaume wa kuoa!! Kiasi kwamba wanawake wanaotamani kupata wenza na kutengeneza familia wameamua kuchukua hatua. Zaidi ya wanawake elfu 8 walio single jana...
[emoji178]CHAI YA FIKRA NA MAHABA [emoji178]
Ni ipo hiyo chai ya Mahaba??
[emoji178]Nikiongelea chai ya Mahaba usije ukasema unaenda kuipika sasa hivi tena ukajiuliza yatiwa tangawizi ...
salaam wakuu..
Ipo hivi, tangu niumizwe katika mahusiano nimekuwa mtu wa tofauti kidogo kwani nimewachukulia wanawake kama watu wasiokuwa na msimamo hasa linapokuja suala na mahusiano
sasa...
Niko serious, haya maisha bila kuwa na mwenza hayaendi kabisa.
Umri wangu ni 30yrs
Elimu ni Bachelor degree
Rangi ni Maji ya kunde
Mrefu wa wastani
Sifa za mwanamke asiwe mwanamke chakaramu
Habari za jioni guys,
Tafadhari naomba mnisaidie katika ili, naomba niseme wazi mimi siyo timbulo.
Miezi mitatu iliyopita nimeajiliwa na kampuni moja hivi hapa mjini, hiyo kampuni ni ya wahindi...
Mfano: Mke anataka kwenda mahala na mume wake, mume hataki kwenda huko anakotaka mke...mke anafika mahali anamlazimisha kwenda naye huko anakotaka waende wote lkn mume hayupo tayari kwenda.
Ndugu...
....Unampenda kwa sababu ni mzuri?...yaan hata akikuacha utaendelea kumuona mzuri au
...mzuri kwa sababu unampenda?..yaan akikuacha tu,basi sio mzuri tena.
we upo upande gani??
Mke wangu niliyekaa naye kwa muda wa miezi 7 kwenye ndoa sasa nimeamua kuachana naye moja kwa moja.
Nimemwambia aondoke kwangu baada ya kumpa uthibitisho wa kunisaliti na yeye kuukataa bahati...
Mmejuana leo nakupeana namba za simu ghafla hata 48hrs hazijapita unaona text *baby naomba hela ya pango 200,000 mwenye nyumba ametupa saa 1 tulipe la sivyo tuondoke *i love u my king* hahaha kama...
Wakuu baada ya kuyatumikia mapenzi kwa muda mrefu na kuwekeza vilivyo,na mwisho wa siku nilichokitegemea kutofanikiwa nimekuwa na roho ya shetani juu ya hawa viumbe wa kike.
Miezi kama sita...
Kuna mtu katoa thread kuhusu kuwa na roho mbaya. naweza sema hayuko mbali sana na mimi japo kuna tofauti kidogo mi cfurahi sana kifo labda niwe nimethibitisha mwenyewe kuwa aliefariki ni hakuwa...
Hata kama wewe hukutegemea kupata hio kitu kuwa mstarabu basi.
Ni hivi wadau leo katika tembezi zangu kwenda buchani kununua nyama nikaona condom ina damu imewekwa katikati ya barabara.
Kweli...
Kwema wapendwa?
Wakuu,
Nina majanga na ninaomba kupewa ushauri wa kuyamaliza kidiplomasia pasipokuleta maafa. Kuna kabinti niko nako muda mrefu tu kama miaka minne hvi na kamemalza chuo mwaka...
Siku mmoja nikiwa Dar maisha yamekuwa magumu sana coz biashara za madili zilikuwa zimekatika, ikapigwa simu kwa jirani. Wakati huo hakukuwa na simu za mkonini. Aliyepiga simu alikuwa ananiulizia...
Habari waheshimiwa wa nji hii.
Nimepata kusikia mazungumzo ya baadhi ya wazee maana kusema kweli wazee ni sehemu ya kampani yangu kubwa nikiwa sehemu za mapumziko. Ukiachia mambo mengne najifunza...
Mi nilikua nampenda sana msichana anaitwa Given alikua yupo mbali sana katika mwitiko wake, baadae nika kata tamaa ya kumfuatilia, nikaanza kwa msichana mwingine anaitwa Bestina, wakati mambo yana...