Ndiyo tu nimejiunga na najifunza jinsi ya kushiriki katika uwanja huu. Picha hizi pengine inabidi nizihamishie katika jukwaa la picha. Naamini hizi ni picha za kawaida tu na hazitamkwaza mtu ye...
Habari za mchana ndugu zangu.
katika mada ya leo, kuna kawaida ambayo si rasmi imejijenga kwa mtu akishagundua anapendwa. Anajaribu kumtikisa mwenzake ili kupima tu ule upendo kutoka kwa...
Mhhh
Wanaume na wanawake wanene jamani wengi sijui ni uchafu au miili ndio tatizo
Khàaaa!!! Utakuta upo na mpenzi wako alafu ham ya mapenzi inapotea ghafla ukijihisi kama upo na kitimoto vilee...
Ndugu zangu wa JF. Naombeni ushauri nipo njia panda.
Kwa shinikizo la wazazi na mimi mwenyewe kuona kuwa kunaumuhimu wa kuwa na mwanamke kwangu nimeamua kuoa ndani ya miez 6 ijayo. Mpaka sasa...
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27. Nilianza kujiingiza kwenye maswala ya kimapenzi kwa mara ya kwanza nikiwa na miaka 23. Nilitokea kuwa na kijana mmoja ambaye hatukudumu kwani sikuwa na hisia...
Tumia ujana wako kutafuta mtu atakae kupenda kwenye uzee wako. Usipokuwa makini utaishia kupata ndoa ya radi inamulika anga nzima kwa sekunde moja halafu inapotea kabisa.
Wakuu poleni kwa majukumu. Kabla hujafa hujaumbika ( unaweza pia kukumbuka). Miaka mitatu (3) iliyopita nilitokea kumpenda mdada mmoja wa kimachame kama mchepuko (maana nimeona na Nina familia)...
Kwema wakubwa?
Ebana nimepata scholarship kwenda nchini uingereza kusoma shahada yangu ya pili ya masuala ya uchumi ktk chuo kikuu cha East Anglia.
Sasa huku nyumbani nina manzi wangu wa muda...
Wana MMU
muhali gani?!
Husika na somo hapo juu.
Nina hili tatizo sijui ni mimi mwenyewe tu?!
Yaani kila mwanamke ninaemuona na kumpenda au kumtamani naogopa kumtokea naogopa kupigwa ngeu(kibomu)...
Pombe imekatazwa hata katika vitabu vya dini na hii yote ni kwa sababu ukinywa pombe inapelekea akili kuwa tofauti, ukifuatilia sana kwa mwanamke kama ulikuwa unamfuatilia Muda mrefu mkafanikiwa...
Wapendwa mu wazima?
Kuna jambo linaniwazisha sana
Nna mke na watoto 4 ila huyu wa nne mda unavyozidi kwenda anakua anazidi kufanana na jirani yangu mzee kibamia!
Mwanzoni mtoto alikuwa anafanana...
Kichwa cha habari chajitosheleza...familia nyingi ambazo vichwa vya familia(wababa)havina fedha za kutunza familia zao huwa wakali kupitiliza,huwa hawaishiwi visingizio,huwa ni watu wa visasi,huwa...
Ni sahihi kumkataa mwanaume au mwanamke kisa dini ni tofauti?
Ni kwamba kuna binti nampenda sana na namhitaji awe mke wangu. Ila ugumu unakuja pale tu kwenye kigezo cha dini.
Nimejaribu...
Jambo wote,
Mwaka 2015 unayoyoma, zikiwa zimebakia takriban siku 21 ili tuingie mwaka 2016 inshallah panapo majaaliwa, leo alfajiri wakati napanga kazi za kufanya siku ya leo na baada ya kupitia...
Nina msichana, kiukweli simpendi, havutii, sio mzuri na wala hajui mapenzi ila cha kushangaza nashindwa kumuacha na hata namba yake ya simu ipo kichwani (nimeikalili). Sometimes huwa nikimwita aje...
Huwa tunaamini kwamba hakuna binadamu aliyekamilika. Hii ina maana kwamba kila binadamu ana udhaifu wake lakini udhaifu huo unatofautiana kati ya mtu na mtu.
Kuna tabia moja mbaya huwa...
Idumu MMU.
Ndugu zangu katika karne hii kumekua na wimbi kubwa la mabinti wadogo wanaoolewa kwa hiari yao na wazee watu wazima hasa wenye uwezo kimaisha.
Ni wazi tunawafahamu wengi ila si vyema...