Naomba ushauri: Nioe au niindelee kula ujana

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,693
Ndugu zangu wa JF. Naombeni ushauri nipo njia panda.

Kwa shinikizo la wazazi na mimi mwenyewe kuona kuwa kunaumuhimu wa kuwa na mwanamke kwangu nimeamua kuoa ndani ya miez 6 ijayo. Mpaka sasa nimesha anza process za kuchumbia.

Tatizo kubwa napata changamoto kipind hiki. Changamoto kubwa nayopata ni kutongozwa sana na mabint / wasichana / wanawake. Wengine jamani mpaka nawakimbia utadhani mimi ndyo mtoto wa kike anavyokimbia wanaume. Hii inanifanya nijisikie vbya ninavyowapiga chini hawa madada. Muda mwingne naisi wanaweza fikiri am gay. Na sio kuwa siwapendi. Mi pia nawatamani kwa matumiz ya binadamu.

Next week naanza kuishi na mchumba wangu nayetarajia kumuoa wakati kunawanawake kibao wanataka kuja kwangu mimi sitaki. Nimehama kwenye appartment nayokaa kimya kmya ili hata wale waliokuwa wakijua kwangu niwapoteze kabsa. Kuna mabiti wengine wamekuwa wakija kwangu hata usiku wa manane mimi bila kuwaita wala kuwa na taarifa.

Hata navyo andika huu uzi hivi sasa kuna binti nimekutana naye leo kaniomba number. Toka mchana text kibao na mimi si mpenzi wa kuchat. Ona sasa kaisha anza nitongoza.
1475781270572.png

Point to note. Mimi sio HB kivile. Sina pesa kivile. Sijuagi hata kutongoza. Na sijawai kutongoza msichana toka nizaliwe. Ila nimekuwa nkitongozwa toka mdogo.

Jamani naombeni mnipe ushauri. Huwa spendi kumkatalia mwanamke iyo ndyo weakness niliyonayo. Wengine wanakuwa vinganganizi. wanangangania kama kupe hata nikiwaeleza kuwa nina mchumba tiyar, wao wanataka nichepuke tuu.

One night stend nilizoisha kutana nazo znanitosha. Ningependa kutulia na kuoa sasa. I need 2 hv ma family. Nacho hofia je nitatulia kwenye ndoa? Hii michepuko kupe nitaikwepaje?
 
Hapo unaomba ushauri au unatangaza umaarufu wako wa kuwa na wasichana wengi!? Weka tangazo mtaani kwenu la vigezo vya binti umtakaye ayakayeshinda huyo ndiye umchukue. Tena wajaze fomu za maombi watakazozinunua kwa sh.20,000/= , si unajua tena siku hizi mwanamke kuolewa ni kama kupata ajira?
 
Nina wasiwasi unachati mwenyewe. kama sivyo weka namba ya unaechatinae kuondoa utata. isije ukawa una sim janja Na n'toch unazingua hapa.
 
njia rahisi hapa anza kupiga mizinga mirefu! mtu kama hawezi kukupa milion akuache tu hapo utajua nani anakupenda zaidi
 
Msimponde..

mkuu weka picha yako labda tutajua sababu hasa tukushauri vyema!!!
 
Ndugu zangu wa JF. Naombeni ushauri nipo njia panda.

Kwa shinikizo la wazazi na mimi mwenyewe kuona kuwa kunaumuhimu wa kuwa na mwanamke kwangu nimeamua kuoa ndani ya miez 6 ijayo. Mpaka sasa nimesha anza process za kuchumbia.

Tatizo kubwa napata changamoto kipind hiki. Changamoto kubwa nayopata ni kutongozwa sana na mabint / wasichana / wanawake. Wengine jamani mpaka nawakimbia utadhani mimi ndyo mtoto wa kike anavyokimbia wanaume. Hii inanifanya nijisikie vbya ninavyowapiga chini hawa madada. Muda mwingne naisi wanaweza fikiri am gay. Na sio kuwa siwapendi. Mi pia nawatamani kwa matumiz ya binadamu.

Next week naanza kuishi na mchumba wangu nayetarajia kumuoa wakati kunawanawake kibao wanataka kuja kwangu mimi sitaki. Nimehama kwenye appartment nayokaa kimya kmya ili hata wale waliokuwa wakijua kwangu niwapoteze kabsa. Kuna mabiti wengine wamekuwa wakija kwangu hata usiku wa manane mimi bila kuwaita wala kuwa na taarifa.

Hata navyo andika huu uzi hivi sasa kuna binti nimekutana naye leo kaniomba number. Toka mchana text kibao na mimi si mpenzi wa kuchat. Ona sasa kaisha anza nitongoza.
View attachment 413552
Point to note. Mimi sio HB kivile. Sina pesa kivile. Sijuagi hata kutongoza. Na sijawai kutongoza msichana toka nizaliwe. Ila nimekuwa nkitongozwa toka mdogo.

Jamani naombeni mnipe ushauri. Huwa spendi kumkatalia mwanamke iyo ndyo weakness niliyonayo. Wengine wanakuwa vinganganizi. wanangangania kama kupe hata nikiwaeleza kuwa nina mchumba tiyar, wao wanataka nichepuke tuu.

One night stend nilizoisha kutana nazo znanitosha. Ningependa kutulia na kuoa sasa. I need 2 hv ma family. Nacho hofia je nitatulia kwenye ndoa? Hii michepuko kupe nitaikwepaje?
Hawa ndiyo vijana wa Dar bwana!
 
Waite wote halafu mwambie atayeonyesha mapenzi ya dhati utamuoa
 
jamani kuna mwana jf mmoja anaitwa "wakishua" hivi yuko hai? nimemis post zake wakishua upo? usiwe na wewe ulikubwa na tetemeko??
 
Ndugu zangu wa JF. Naombeni ushauri nipo njia panda.

Kwa shinikizo la wazazi na mimi mwenyewe kuona kuwa kunaumuhimu wa kuwa na mwanamke kwangu nimeamua kuoa ndani ya miez 6 ijayo. Mpaka sasa nimesha anza process za kuchumbia.

Tatizo kubwa napata changamoto kipind hiki. Changamoto kubwa nayopata ni kutongozwa sana na mabint / wasichana / wanawake. Wengine jamani mpaka nawakimbia utadhani mimi ndyo mtoto wa kike anavyokimbia wanaume. Hii inanifanya nijisikie vbya ninavyowapiga chini hawa madada. Muda mwingne naisi wanaweza fikiri am gay. Na sio kuwa siwapendi. Mi pia nawatamani kwa matumiz ya binadamu.

Next week naanza kuishi na mchumba wangu nayetarajia kumuoa wakati kunawanawake kibao wanataka kuja kwangu mimi sitaki. Nimehama kwenye appartment nayokaa kimya kmya ili hata wale waliokuwa wakijua kwangu niwapoteze kabsa. Kuna mabiti wengine wamekuwa wakija kwangu hata usiku wa manane mimi bila kuwaita wala kuwa na taarifa.

Hata navyo andika huu uzi hivi sasa kuna binti nimekutana naye leo kaniomba number. Toka mchana text kibao na mimi si mpenzi wa kuchat. Ona sasa kaisha anza nitongoza.
View attachment 413552
Point to note. Mimi sio HB kivile. Sina pesa kivile. Sijuagi hata kutongoza. Na sijawai kutongoza msichana toka nizaliwe. Ila nimekuwa nkitongozwa toka mdogo.

Jamani naombeni mnipe ushauri. Huwa spendi kumkatalia mwanamke iyo ndyo weakness niliyonayo. Wengine wanakuwa vinganganizi. wanangangania kama kupe hata nikiwaeleza kuwa nina mchumba tiyar, wao wanataka nichepuke tuu.

One night stend nilizoisha kutana nazo znanitosha. Ningependa kutulia na kuoa sasa. I need 2 hv ma family. Nacho hofia je nitatulia kwenye ndoa? Hii michepuko kupe nitaikwepaje?
Endelea kula ujana.
 
tofautisha kati ya anaekutamani na anaekupenda!!!!!!!!!!!!!!!:::::. ulishawahi kujiuliza km hujapata kazi siku ukiipata tu na nyingine ndo zinaibuka tena mzuri zaidi zenye mshahara mnono? so akili kumkichwa MUNGU anakupima uvumilivu wako na msimamo wako atakuletea kwa sasa kila aina ya mabinti wa duniani wazuri km malaika adi utaona umependelewa kumbe unajaribiwa utakapoushinda mtihani huo ndipo navo hutoweka kwa pamoja,,,,, so usijidanganye unapendwa la hasha! unatamaniwa tu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom