flintsky
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 654
- 747
Wapendwa mu wazima?
Kuna jambo linaniwazisha sana
Nna mke na watoto 4 ila huyu wa nne mda unavyozidi kwenda anakua anazidi kufanana na jirani yangu mzee kibamia!
Mwanzoni mtoto alikuwa anafanana na mama yake ila ajabu
Siku zinavyoenda sura ya lile zee inakuja!
Halafu huyu dingi kaanza kama kujishtukia flani kila nikipita nimemkaushia ananiita kwa nguvu ili tu anisalimie mbona zamani hakuwa hivi?!
Hapa nilipo naanza kukonekti doti
Ushahidi ukijaa nitawaletea mrejesho!sitaki ujinga me wala sijaribiwi