Mume amtoroka mkewe zaidi ya miaka kumi na nane na kwenda kusikojulikana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mume amtoroka mkewe zaidi ya miaka kumi na nane na kwenda kusikojulikana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by shaliza, Jul 6, 2011.

 1. s

  shaliza Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baba mmoja amtoroka mkewe na kwenda kuishi pasipojulikana zaidi ya miaka kumi kwa kile kinachosemekana ugumu wa maisha,mkewe akadhani kuwa mumewe amekwisha kufa kwa sababu kipindi anaondoka aliwaacha wanawe wakiwa wadogo wa miaka minne, ndugu wa baba huyo wakaamua kuweka matanga na kudhani ndugu yao alishafariki siku nyingi.

  ndugu hao wakaamua kumwambia mke wa huyo bwana aolewe na mwanaume yeyote atakayempenda,yule mama akampata bwana akaolewa na akazaa naye watoto watatu,sasa bwana yule wa zamani akarudi na kukuta watoto walishakuwa watu wazima wengine walishaolewa siku nyingi na wana watoto tayari , watoto wale wakamkana baba yao wakisema hawamjui kwa sababu mama yao alipoolewa na baba mwingine ndiye aliyewalea na ndiye wanayemfahamu.

  sasa yule mwanamke kwa kweli kazi anayo kwa sababu hapo ameshidwa kujua sijui aolewe nao wote wanaume wawili wote.
   
 2. charger

  charger JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,318
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Mwaume majukumu,mwanaume anaekimbia familia huyo sio mwanaume.Wala asimsumbue huyo mama kama amepata mwanaume halisi
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Kisheria mwanamke ana haki ya kuolewa iwapo mwanaume atakuwa haonekani nyumbani kwake yaani mwanamke atakaposhindwa kujua whereabout of her husband for more than five years mwanamke ana haki ya kuolewa na mwanamme mwingine na wala hafungwi na ndoa ya kwanza
  Vile vile hata kama itakuwa amefungwa kifungo kinachozidi miaka mitano mwanamke ana haki ya kuolewa maana sio rahisi mwanamke kuweza kuvumilia kumsubiri mwanaume ambaye haonekani kwa kipindi chote hicho
  So alipoondoka kutoka nyumbani kwake kwa kipijndi chote hicho bila mawasiliano yoyote alipoteza haki za kuwa mume wa yule mama na yule mama ana haki zote kuishi maisha anayoishi kwa sasa na mume wake wa sasa na mume wa zamani haruhusiwi kabisa kumbughudhi
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,921
  Likes Received: 5,080
  Trophy Points: 280
  wamkane tu hana dili utelekeze familia yako leo watoto wamekua ndo ujitokeze
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,093
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Huyo mama alipata taabu za kutosha, kama vipi amsweke tu huyo mkimbizi ndani then ndugu zake wataenda kumwekea dhamana.
   
 6. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,293
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  huyu sio Baba ni adhaba.asiwachanganye akili zao ajipange kivyake.
   
 7. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,616
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mmh! mwanamke alikuwa witbh nini?
   
 8. bmpingo

  bmpingo JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2014
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Swali la kikorofi: Je anadai alikuwa wapi miaka yote hiyo?
   
 9. mankachara

  mankachara JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2014
  Joined: Sep 27, 2013
  Messages: 4,385
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Uyo mwanamme aliekimbia saivi maisha yake yakoje
   
 10. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2014
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,399
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Halafu ukute anarudi ana ukimwi,kisonono,kaswende, pangusa, nk halafu hela hana! Blood shit!!!
   
 11. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2014
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 40,503
  Likes Received: 22,901
  Trophy Points: 280
  kuna mwingine hapa hapa duniani alimkimbia mkewe miaka 10 hajulikani alipo, hivi karibuni karudi kwa mkewe na ukimwi juu, maza kampokea na sahivi anamuuguza....mmh moyo wa hivi labda nikawekewe Apolo sina kwakweli!!!
   
 12. Ariella A.K

  Ariella A.K Senior Member

  #12
  Oct 8, 2014
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ...kwahiyo amerudi na maisha rahisi?
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2014
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,534
  Likes Received: 21,011
  Trophy Points: 280
  Some painful life
   
 14. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2014
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,493
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Mpaka kifo kitutenganishe. ......

  Hii kauli inabidi ifanyiwe marekebisho. ..
   
 15. christine ibrahim

  christine ibrahim JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2014
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 11,633
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  Hahahaa
  Manaake inawa cost watu
   
Loading...