Demu (no offense) wa mshikaji

Quemu

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
984
124
u demu wa mshikaji, toka mwanzo nilijua
nikavulia nguo maji, mshikaji haja pata jua
ukatimiza yangu mahitaji, nikakupa rozi ua
kwa nini wanijaji, wakati u si juha?

Siku ile nipokusogelea, kuteta yangu maneno
Pasipo sita ulijongea, kwa ulaini nikaparaza mikono
shingoni nikakutekenyea, furaha ulikenua meno
kwa nini waninyoshea, cha kati kidolecho?

Simuni tulilonga, wakati hayupo yu bwanao
Kwa madaha ulibonga, wataka nikupatie babalao
Nami sikujigonga, nika ahidi kumpitia mamalao
Kwa nini wanidunda, wakati u si kalaghabao?

Ilipowadia siku ya siku, subira hatukutaka vuta
Tuliparamiana kama kuku, tukaburuzana kwenye kuta
tukasaula tu watupu, haraka haraka tukafurukuta
kwa nini warusha -----, ingali sote tuliputa?

hebu nipishe mie, rudi kwa bwanao
makini jitizamie, usije acha mbachao
sipendi ujiharibie, kwa mswala upitao
kwa nini unikaripie, wakati u si mzao?
 
Mashairi kutu,,,! bora tujifunike shuka tupapase papuchi za wake zetu tu.

tumechoka na ugoro wa jf.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom