Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
Nimeona kwenye duka la vifaa kuna vimashine mashine na ni kwa ajili ya wanawake tu, vina maumbo ya kijitu kizima kimaumbo ya kiume, hivi ni kweli vifaa hivi humuakilisha mwanamme na humfikisha kileleni mwananmke na je ni bora kuliko sisi ,na mnaweza kabisa kuhimili maisha yenu bila ya shida yeyote ile?
Ni suali tu nauliza
Ni suali tu nauliza