Natumaini wote wazima.
Jamani nimesikia hichi kibao kipya cha Bahati Bukuku-Umewazidi wote. Kwa kweli huu wimbo umenipa faraja sana. Kwa wale mlio kwenye ndoa, naamini huu wimbo utawapa matumaini...
Wakuu habari ya wakati huu.
Wakuu mimi wanawake wengi kama sio wote wa kizungu naowaona au niliokutana nao hapa bongo hawana makalio makubwa.
Nimebahatika kukaa miji au maeneo makubwa ya kitalii...
Utajuaje kama mama ako ni mtanzania.........
-Ni pale unapo mkopa hela alafu uki mdai.... Ana kuuliza chakula unacho kulaga humu ndani uwa unalipia..?
Huyo mbongo
-Ni anapokuachia kazi alafu...
Habari wanabodi,
Nimekuja kuomba ushauri. Nimeoa mwezi uliopita sasa kuna kamchepuko kangu kamenasa mimba mwezi niliofunga ndoa, sasa kananisumbua balaa kila muda kanataka niwe nako halafu...
Wadau, Mu hali gani?
Kumekuwapo na sintofahamu kati yangu na my wife wangu.
najaribu kutaka kumuelewa lakini nabaki njiapanda kama ilivyo kawaida yao ni ngumu sana kumuelewa mwanamke na itabaki...
Hallo Members!! Ladies and Gentlemen!!
Hii hapa tena interview ya aina yake,
Mada tajwa hapo juu ya husika!
Tutajadili mengi yanayohusu mambo ya mawasilino kwa Wapendanao hususani matumizi ya...
Leo mida ya saa 9 alasiri nmekaa na dada mmoja basi nikaona nimuombe namba kama kawaida ya wanaume huwa hatukosagi cha kuongea wakiwepo wadada
Huyu du kaniomba ef 30 ili anipe mobile no. yake...
Habari ya wakati huu wakuu,
Naomba niseme ya moyoni, pamoja na kua sifa yangu ya kwanza kwa mwanamke yoyote ni kua na mkia wa maana (Neema za Allah) lakini pia wanawake wanaovaa saa za mkononi...
Ana watoto wake wawili ambao alitoka nao kwa mmewe wa awali, sikufahamu maisha yake baada ya kupotezana naye kwa takribani miaka 9 wakati huo sikuwa na ukaribu naye mkubwa, ni ile kufahamiana tu...
Umepata safari kikazi wakati wa kupanga nguo zako mke wako anakuletea box la condom in case ikitokea dharura utumie unapokea kwa furaha na kusema asante kwa kunijali mke wangu, wakati upo kwenye...
Mimi ni mvulana kuna rafiki Yangu wa kiume naheshimiana nae sana.Amekuwa na mahusiano na Dada mmoja ambae namfahamu nipo nae Jirani sana wamekuwa wakigegedana kwa mda mrefu.Najua mvulana huyu hana...
Wana Body
Hope mko powa wote hasa wakiume hili swali linawahusu sana ninyi,
Kwa upande wangu hii inakuwa changamoto sana kuwa mwanaume nafananisha na kufika kwenye buffet kuna vyakula vya kia...
Uvumilivu..
Uvumilivu ni hali ya kutulia na kungoja kwa saburi, kuchukuliana kwa upendo, kutazamia kwa kutokukata tamaa na kutokurudisha baya pale unapotendewa. Uvumilivu lazima uendane na...
Nimepatia kusikia habari etii watu wakiwa wachumba halafu Wakashindwa kuoana eti kuna Nyota ya mmojawapo iko juu kwa iyo inabidi sijui eti ishushwe ndo waje waoane.
Kuna ukwel juu la hilo jambo...
1: Muonye mwanao wa kike na umkataze kukaa mapajani kwa mtu yeyoteee ikiwemo wajomba. ( Kwa hali ilivyo siku hizi, hata wa kiume akatazwe)
2: Epuka kuvua nguo (kuwa mtupu) mbele ya mwanao pale tu...
Sad Story About Love...
Teenagers gathered to pray and listen to some lectures. At the back of the room there was a boy and girl sitting.They both went down to see each other... they pretended...
Sikuzote za maisha ya mahusiona kila mmoja anapenda kupendwa.Tatizolinakuja Unaye mpendwa Naye kapendwa je? Nini unahisikitatokea (.......) Unakosa amani Na asiye kupenda maana anaye wake.
"MLA KUKU WA MWENZIE MIGUU HUMWELEKEA"
Mama mmoja alimtoa binti mmoja kijijini na kumleta mjini, alikaa naye kwa miaka minne tangu mama akiwa mjamzito mpaka kujifungua na mtoto kubwa. Yule binti...