Nianze kwa kusema kwamba nimewa-miss sana wasomaji wangu!Ni wiki moja tu tangu tumeachana lakini kwangu naona nikama mwezi hivi kwani nilitamani niwe nakutana nanyi kila siku kupitia safu hii ila...
Wadau nawasalimu,
Mimi na mwanamke wangu tunaishi katika ule utaratibu unaoitwa na wataalam wa mahusiano ""come we stay"" yaani tumekubaliana kuishi pamoja bila ndoa, yeye amenizidi miaka...
Kiukweli hii tabia sijui kwanini nashindwa kuiacha yaan hata kama naongoza na mtu lazima tu ntaangali, tena usiombe iwe kubwa maana ntazunguka weee then ntarudi tena kuicheki.
Habari wakuu.
Naomba maoni yenu kwenye swala hili la ndoa.
Ukitilia maanani kuwa ndoa ifungwapo, yamini huliwa na mwanamke na aidha mwanamume kuwa watapendana na kuvumiliana katika kila hali...
Wadau,
Nimekuwa natatizwa muda mrefu sana juu ya suala la mapenzi kati ya binadamu na wanyama wengine.
Kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua wanyama karibia wote katika niliowafanyia utafiti...
Habarini wanajamvi,
Mimi siyo mwenyeji sana katika jukwaa hili la mapenzi ila nimeona niwasaidie wanaume wenzangu uzoefu kidogo ambao utarejesha heshima za ndoa /mahusiano yao.
Kwanza kabisa...
Wanawake wengi kulongana na maisha yao machafu kama kusagana, kufanywa bila hisia au na watu wasio waonea hisia. Studies zinaonesha kuwa huwenda wakawa na matatizo ya kisaikologia, hali ambayo...
Kwamba....
Mwanamke kwa siku hutongozwa na Wanaume 3
Mwanamke kwa wiki hutongozwa na Wanaume 21
Mwanamke kwa mwezi hutongozwa na Wanaume 84
Mwanamke kwa mwaka hutongozwa na Wanaume 1008
Kati ya...
Habari,
Naitwa Brian, mwanaume, ni mwalimu wa Sekondari nipo Dar, miaka 31, natafuta mchumba (Mwanamke) na awe Mkristo (RC) au dhehebu lolote, awe Mcha Mungu na asiwe mtu wa mambo mengi (mambo...
Habari wana jamii,
Mimi na mke wangu tumefunga ndoa takribani miaka 5 iliyopita. Tumebahatika kupata watoto wawili tayari na Mungu ametujalia kuwa na kazi halali zinazotuingizia kipato. Aidha...
Habarini Wadau,
Ninaamini mahali hapa ni mahali pazuri sana pa kupata ushauri utakaosaidia kukuza uelewa.
Kuna hali ya utofauti wa kimtazamo katika labda niseme races au jamii mbalimbali hususan...
Hi, habari zenu, please understand, lugha ni ngumu kwangu lakini kuna swali ningependa kuwauliza.
Mambo ya udini huwa ngumu kwangu yaani tangu nikiwa mtoto hata kumwaminia Mungu hakikukuwa kitu...
Wakati wa kulala si lazima wapenzi wafuate utaratibu ule ule kila mara.Hii inawezekana msimamo wa akili ulivyo kwa wakati huo.Fuatilia mitindo ya ulalaji na maana yake
::
KUKUMBATIANA
Mtindo...
Natafta mrembo aliye tayari kunizalia mtoto.
Nita toa huduma zote wakati wa ujauzito wake adi malezi na makuzi ya mtoto.
Sifa:1.Awe ni mtumishi wa serikali
2.Awe mkristo...
Mwanaume mmoja amelalamikia vituko vya mpenzi wake waliyekutana kanisani anayemuonesha maajabu kitandani.
Kwenye barua aliyomwandikia mtaalamu wa matibabu na mwanasaikolojia maarufu,Kijana huyo...
Hello JF
Hii inaenda Kwa Wanaume wote.. hivi Utachukua Uamuzi gani Pale Umeishi na Mpenzi wako kwa Takribani Miaka 6+ toka Mpo Secondary. Sasa mnaelekea kwenye Uchumba na inatokea Anapata Mimba...
Ni kitu kinachosikitisha, asilimia kubwa ya wanawake wanapenda au wanatamani kuwa na wanaume ambao tayari wanauwezo na Mali. Wanasahau kuwa katika kila mwanaume aliyeendelea kuna uwezekano wa...
Mambo vipi waungwana,
Hivi kwa mfano ikitokea umempa binti wa chuo ujauzito serikali inaweza kuhusika kukuwajibisha kama ilivyozoeleka kwa wanafunzi wa sekondari, hebu tupeane uzoefu kwa hili...
Kabla sijaamua kuwa na nyumba ndogo imenibidi nitumie mbinu zote za kumrekebisha mke wangu ili aachana na mambo yanayosababisha mimi nioe mke mwingine.
Nimejaribu lakini naona anajirekebisha siku...