Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nauliza tu kujifunza.huwezi jua kesho naweza kuwa na familia mume anaehangaika mi sielewi kitu Je wanaume nao wanakuwaga na siku zao za joto kupanda ama hot days ambapo hormone zao zinakuwa juu na...
3 Reactions
100 Replies
4K Views
Kumezuka ugomvi mkubwa hapa mtaani alfajiri ya Leo na mmoja wa majeruhi yupo hospitali hivi Sasa. Sina hakika kama pua yake Itakuwa salama tena maana imeng'atwa yote.! Chanzo cha yote ni kwamba...
2 Reactions
10 Replies
547 Views
Ndugu zangu , ikiwa ni siku nyingine tena nina wasalimu kwa jina la mshikamano wetu kama wana Jf, na kwa wale wasio wana Jf basi wasikonde nao na wasalimu ila wajitahidi na wao kua miongoni mwao...
2 Reactions
55 Replies
9K Views
Nilimtongoza sana na sound kibao anachomoa mara anataka tuwe marafiki tu sio mahusiano na mimi lengo langu nimukule alafu nipite hivi. Baada ya kuchati kwa muda mrefu ananisisitiza eti yeye sio...
28 Reactions
32 Replies
2K Views
Ndiyo mimi nina miaka zaidi ya 20 sijatumia kiatu. Napenda kucheza game pekuluku au pekupeku. Nahakikishia uwanja umeloana vizuri sana ndo naingia ndani. Hapo nitavuruga nitakavyo. Kama unapenda...
21 Reactions
83 Replies
5K Views
Helo good people!Natumai nyote ni wazima,kwa wagonjwa na wenye majanga poleni Mungu awatie nguvu.. Guys,je ni sawa mwanaume kumwambia mwanaume mwenzie especially kwa msg kuwa i love you so much...
10 Reactions
144 Replies
13K Views
Aslaam Aleikyum wadau wa jukwaa hili pendwa,I hope mko fresh,,Ebhana nna swali hapa kwa wote...Hivi ni kitu gani mpenzi wako hakifahamu kuhusu wewe??..Mimi binafsi Manzi angu hajui kuwa mimi ndo...
17 Reactions
296 Replies
33K Views
Haya wadau karibu sana wale mabingwa wa kulala peke yetu on bed,karibuni tu share mambo
7 Reactions
237 Replies
17K Views
Haya maisha kweli yanaenda yanabadilika, nakumbuka kipindi cha nyuma sikuwahi kaa kipindi kinachozidi miezi walau 6 nikiwa sipo kabisa kwenye mahusiano. Makoloni yalikuwa ya kutosha, ilikuwa ni...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimeona leo niwashirikishe hii mada iliyo katika sehem ya maisha yangu ili iwakomboe vijana wengi humu wanaoteseka kula madawa na kupoteza fedha nyingi sababu ya kujihisi wana tatizo la nguvu za...
18 Reactions
52 Replies
10K Views
Kama kawaida yangu, kila nifikapo kijijini kwetu kipindi kama hiki cha sikukuu huwa natembeatembea kuangalia namna gani madhari ya kijijini yamebadilika. Leo sasa, saa tisa niko zangu road...
6 Reactions
81 Replies
11K Views
Habari wakuu Hii wiki kumekua na idadi kubwa sana ya watu mjini kutokana na pilika mbalimbali za sikukuu Ila nilichogundua ni kuwa kuna ongezeko kubwa la watu wafup hasa wadada kiasi kwamba kwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hakuna mwanamke asiyependa raha hapa duniani Na tunaamini ukiwa kwenye mahusiano na boy mwenye usafiri wa gari uta-enjoy mapenzi kuliko ambaye hana usafiri wake Huwa tunafurahi na kujihisi...
7 Reactions
82 Replies
9K Views
Jamani ni ukweli ninaowaambia kuna mastar kama 6 hivi nishawatafuna wa bongo move, wa kwanza niliangaika nae sana zaidi ya miaka minne so kuna rafiki yg mmoja mjeda akanipa mbinu jinsi yeye...
10 Reactions
163 Replies
20K Views
Kabla ya yote busara na hekima zenu zinahitajika katika kulitatua hili. Mahusiano yao yapo katika hatua ya uchumba lakini dosari ni kuwa baba mzazi wa familia ya mtoto wa kike anavuma kwa...
9 Reactions
74 Replies
15K Views
Poleni na majukuu ya ujenzi wa taifa letu. Nipo kwenye mahusiano na mwanamke kwa muda wa miaka 5 sasa, tumeishi nae vema na tumejaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume hadi sasa japo sijamuoa wala...
21 Reactions
265 Replies
23K Views
Aisee nimeamini kweli hapa mjini msingi kiuno na ukijua kuchezesha tu kiuno chako utapata pesa za fasta sana maana jana kiukweli nilikichezesha sana kiuno changu tokea asubuhi mpaka alfajiri mimi...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Wakuu, In short ni kwamba kila kona upitayo sasa hivi wanaume hawapati tena shida bali wanawake ndo wamekuwa wakiwatongoza wanaume. Baadhi ya wadada sasa hivi hata kama alikua anataka mume wa...
6 Reactions
207 Replies
23K Views
Ndugu zangu niwatakie heri na baraka tele za mwisho wa mwaka 2023. Mwaka 2024 tusikwepe wanawake wazuri tuhakikishe tunawaoa na wao pia ili kumbana shetani akose sampuli za kutumia kuangamiza hii...
9 Reactions
95 Replies
14K Views
Katika utafiti mpya uliofanyika katika chuo kikuu cha Oxford cha nchini Uingereza ukiongozwa na Prof. Konstantinos Monolopous unasema kua wanawake wenye makalio makubwa wana akili kuliko wenzao...
6 Reactions
226 Replies
93K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…