Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
Wakuu,
In short ni kwamba kila kona upitayo sasa hivi wanaume hawapati tena shida bali wanawake ndo wamekuwa wakiwatongoza wanaume.
Baadhi ya wadada sasa hivi hata kama alikua anataka mume wa peke yake, amejikuta anachacha hapati mume imebidi aanze kukubaliana na hali halisi ya sasa (kuwa nyumba ndogo).
Asilimia kubwa ya wadada wameamua kufungua midomo baada ya ukimya wa mda mrefu ambapo kama wangeendelea hivyo wangeishia kuzeeka bila kuitwa mke wa fulani.
Nawakilisha