Kusamehe makosa ya watu wengine haina maana ya
1.Kuondoa wajibu wa mhusika katika kosa au kitendo hicho.Ikiwa mtu amefanya makosa anatakiwa kuwajibika kurekebisha uharibifu ambao ameufanya.Endapo...
Kujichukia ni hali ya mtu kuwa na mawazo hasi, ya kujikosoa kupita kiasi au kujiona hafai kabisa. Mara nyingi huambatana na msongo wa mawazo (depression), wasiwasi (anxiety), au athari za maisha...
allen_strong anasema
As a man, you should either have a supportive woman by your side or no woman at all.
There's no third option.
Japo yeye ameongelea kwa wanaume ila mimi naongezea hata...
Amani iwe kwenu wote.....
Kina mama ambao mna watoto especially wa kike kwa ups and down za maisha mkatengana na baba zao na mnaishi na baba wengine wa kambo, hivi hawa wababa huwa...
Nitangulize samahani zangu kwa wakubwa nitakao wakwaza lakini uzi huu ni kutaka ushauri tu hvyo naomba mawazo yenu
Iko hivi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kwa muda wa miaka mi 3 sasa...
Jumanne njema watafutaji wenzangu,
Baada ya kusaka nyau ya big booty kwa wiki 3 mfululizo hatimae nikaangukia kwa dodo lenye msambwanda wake basi baada ya kukusanya stress za wiki nzima jumapili...
Ndio,ni ya mafanikio,ni wiki ya ushindi kwani kila mmoja wenu atapata mwenzie.Sasa zingatieni mambo yafuatayo:
A.Kwa wanawake wote mfanye yafuatayo:
1.Vaa vizuri kila utokapo nyumbani kwenda...
Kila siku huwa wanaachwa ,utakuta mtu anamkatia ticket tafuta visa mtu anakuja USA anasomeshwa na anamwacha huyo mwanaume.kuna mdada alisomeshwa udaktari 7 years mdada akapata udaktari mdada...
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.
Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.
Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya...
Shikamooni wakubwa wote humu ndani.
Maisha ni fumbo,
Fumbo hili ni kwenye kila kitu kwenye maisha,ni juzi tu hapa Mimi na marafiki zangu tulikuwa tunachagua earphones zile za Bluetooth .
Basi...
(Mwanaume wa kweli – anayesimama kama nguzo ya familia na jamii)
💪 1. Anawajibika
Hatupi lawama — anachukua hatua!
🧠 2. Ana busara
Hufikiri kwa akili kabla ya kuzungumza au kutenda.
🤝 3...
Inakuwaje mke na Mme mkiwa ndani kila mtu yuko bize na simu na TV?
Ukiona hivo basi nyinyi hamuendani yaani kuna nyumba zina raha sana mke na mme ni mwendo Wa story za kucheka tu mpaka wana lala...
Wakuu,
Mimi ni kijana 30 years, nimekuwa addicted na kununua Wanawake 'totoz' wakuu. Nimenunua sehemu nyingi sana. Kwanza Rwanda mitaa ya Magerwa, Lemela, Gisenyi kwa Bongo pande za Sinza Corner...
Steve Jobs died a billionaire at the age of 56 from pancreatic cancer.
[https://qph]
His last words on his deathbed:
"I have reached the pinnacle of success in business. In the eyes of others...
Wanaume wenzangu mpenzi/mke wako unapomkosea kili kosa/ omba radhi na ikiwezekana piga hata magoti haswa unapojua kuwa amegundua unavyo mcheat maana ni watu wa visasi Hawa.
Ipo hivi Kuna dada...
Hebu tupieni hapa one night stand yako ambayo ilikiwa perfect ever na hutaisahau kamwe.
Yangu ni siku moja nilienda kwenye semina moshi. Ilikiwa ya wiki moja. Monday to friday. Sasa siku ya...
Inasikitisha sana wakuu.
Yaan pale unaona mwanaume amekua zoba kwa dem ambae ni malaya grade A. Dem ameshaliwa mikao na matundu yote kisha anatokea boya mmoja mwenye ushamba wa madem eti anaweka...
Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea!
Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo wa ziada badala ya kukuinua. Hapa kuna alama za...
Wakuu
Mwaka 2023 nilisafiri kikazi kwenda nchi mojawapo iliyopo barani ulaya, ni ziara iliyohusisha mambo binafsi ambayo kiukweli mbali na kwenda kikazi pia ilinipatia mwanamke ambaye hadi sasa...
Nawashangaa wakaka aisee, wewe umenitokea ukaeleza hisia zako, nikawa naanza kukuelewa, ila nikasema "Nipe muda nikuzoee" Mara majina ya mke mke mke yanakuwa na kutuma vihela vya vocha na ghafla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.