Nawashangaa wakaka aisee, wewe umenitokea ukaeleza hisia zako, nikawa naanza kukuelewa, ila nikasema "Nipe muda nikuzoee" Mara majina ya mke mke mke yanakuwa na kutuma vihela vya vocha na ghafla...
Habari! Mimi pia nina changamoto ya hii.hivyo nimekuja hapa serious kama kuna mwanaume anauhakika anapito hili ambalo kiuhalisia linaumiza sana.
lakini binafsi kisaikolojia nimepona nahitaji...
Leo majira ya saa sita mchana niliingia lodge moja na kuwaamuru wale wadada wanaojiuza waje wawili niwashugulikie,nimetumia masaa matatu ndipo wote kwa pamoja wakaridhika na nimewaachia namba...
Nimejaribu kuwaza kama ingekuwa sisi wanaume ndio tunatolewa barua na ndio ingekuwa tunatongozwa,
Afu ukute ni msichana fulani hivi mrefu si mrefu mfupi si mfupi yaani haeleweki afu ndio...
Kawaida inajulikana mwanaume ndio baba wa familia kuanzia huduma hadi ulinzi. Kama hana kazi, mkewe au mpenzie avumilie na kumhudumia mpaka atakapopata kazi au kibarua cha kumpatia pesa.
Lakini...
Wakuu
Umekula nini mchana huu?
Kwa upande wangu nimekula wali wa nyama,na kushushia na juisi ya parachichi,huku nikisubiri mke wangu amalize kula nikale chumbani,hali ya hewa inaruhusu!
Habari yenu wakuu,
Samahani lakini kwa Swali langu, inanisumbua sana imenilazimu niulize. Hivi kwanini wanawake wa siku hizi ni wafupi sana yaani saana?. Hasa wanawake wa Kitanzania, unakuta...
Habari
Jamani wakaka warefu wanajua sana mapenzi yaani huwa wanavitu vya kipekee sana yaani hata akikukis unafeel uko na mtu sasa shida ipo hawa vifupi jamani dah.
Mpaka unaogopa kutambulisha...
Kuishi na mwanaume anayejua mapenzi huwazi sex kila mara ila unawaza mume wako atarudi saa ngapi akupe utramu wa hali ya juu.
Kuna tofauti ya sex tu na haja zikatimizwa kibabe na ule utamu...
Baadhi ya wanawake wa kingoni nahisi wana umeme mdogo kichwani sio kwa ubaya ni katika kujenga.
Ukioa binti wa kingoni changamoto sana ni malimbukeni na wanatamaa ya vitu vidogo, kuna mmoja hapa...
Kwenye mahusiano unakuwa unatoa hela zaidi kuliko kupewa huduma.
Mara mama mdogo kalazwa mloganzila, Mara sijui simu imefanya nini, Mara sijui mdogo wangu mgonjwa inatakiwa elfu thelathini...
Fanya hivi kama mwanaume akikupotezea baada ya kulala naye!
Umekutana na mwanaume, amekutongoza kwa muda mrefu, au hata hakutumia muda mrefu lakini mwanzo hukuwa unamuelewa. Ulikuja kumuelewa na...
Kosa langu la kwanza kuamini moyo, kwenye Dunia ya mapenzi isiyompa makazi ya kudumu mwanaume asiye na pesa.
Kosa la pili kuishi kimazoea, dhidi ya kiumbe niliyetakiwa kuishi nae kwa akili.
Kosa...
Kwakweli kuna msiba mkubwa sana kwa watu wafupi na wale wanene, watu hawa hasa wenye kipato cha kawaida ama kipato kidogo wamekuwa wakipata wakati mgumu sana kupata rafiki wa kike, yaani wanawake...
1. Mafundi Ujenzi - Saiti mpya dem mpya
2. Mafundi Simu - ni tangu enzi za miaka ya 2000s nawajua vizuri, kwa kuhonga wana b+
3. Wauza mitumba - mabalo ya mitumba yana faida kubwa sana...
Nauliza tu kujifunza.huwezi jua kesho naweza kuwa na familia mume anaehangaika mi sielewi kitu
Je wanaume nao wanakuwaga na siku zao za joto kupanda ama hot days ambapo hormone zao zinakuwa juu na...
Kumezuka ugomvi mkubwa hapa mtaani alfajiri ya Leo na mmoja wa majeruhi yupo hospitali hivi Sasa. Sina hakika kama pua yake Itakuwa salama tena maana imeng'atwa yote.!
Chanzo cha yote ni kwamba...
Ndugu zangu , ikiwa ni siku nyingine tena nina wasalimu kwa jina la mshikamano wetu kama wana Jf, na kwa wale wasio wana Jf basi wasikonde nao na wasalimu ila wajitahidi na wao kua miongoni mwao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.