Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,742
- 3,319
Habari wakuu
Hii wiki kumekua na idadi kubwa sana ya watu mjini kutokana na pilika mbalimbali za sikukuu
Ila nilichogundua ni kuwa kuna ongezeko kubwa la watu wafup hasa wadada kiasi kwamba kwa mimi na kimo changu najihisi kama niko China hivi nkipishana nao tofauti na miaka ya nyuma
Sina lengo la kukosoa uumbaji ila nnadhan kuna sababu inayopelekea hili suala
Nini chanzo na tiba ya tatizo hili?
Sent using Jamii Forums mobile app