george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,302
- 2,035
Jamani ni ukweli ninaowaambia kuna mastar kama 6 hivi nishawatafuna wa bongo move, wa kwanza niliangaika nae sana zaidi ya miaka minne so kuna rafiki yg mmoja mjeda akanipa mbinu jinsi yeye alivomtafunaga yule demu aliemfundishaga baba lao english, akaniambia alimuendea bobo na kumtajia dau la milioni 2 ,kwake ikawa mtelemko, basi nami nikawa naingia bobo za mastar naandika dau nawapa na namba yg ya wsup na kumuakikishia kwenda nae hotel nzuri sio uswazi, hivi ninavoongea nishatafuna mastar wakubwa 6 ila sitowataja humu kwa sababu ya maadili, ila mmoja wpo ana bonge la shepu yeye mwenyewe baada ya photo zke kuvuja akawa anasema shepu lake halikai kwenye swimiing pol nilimpa milioni na nusu wadau, nawakalibisha waliotafuna mastar humu nao wacoment waseme mbinu gn walitumia zaidi yg
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app