Ngareroo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 2,166
- 2,611
Aslaam Aleikyum wadau wa jukwaa hili pendwa,I hope mko fresh,,Ebhana nna swali hapa kwa wote...Hivi ni kitu gani mpenzi wako hakifahamu kuhusu wewe??..Mimi binafsi Manzi angu hajui kuwa mimi ndo Ngareroo humu JF..!Lakini pia hajui kuwa nina miliki Bastola nzito kilo4.
@NgarenaroBoy.
@NgarenaroBoy.