Wadau!
Nimeshuhudia watu kadhaa kukumbwa na dholuba la kufulia/ukata au kufukuzwa kazi punde tu wanapooa au kuolewa!
Wataalam na watu wazima njooni hapa tuelimishane siri iliyopo kwenye ufukara...
Habari wana jamvini
Nina shida kidogo ndani ya familia yangu, na mara nyingi nimepata ushauri mzuri tu kutoka ndani ya wana jamii wa JF japo wengine watakukejeli na mengine mengi.
Leo nimekuja...
Miaka kadhaa imepita toka nilipokutana na msichana ambaye nilitokea kumpenda sana kuliko maelezo, hadi ilifika wakati rafiki walikuwa wananishangaa maana ilikuwa ni more than love.
Maisha...
Amani iwe kwenu wakuu,yapata wiki mbili zilizopita nilienda kula bata maeneo fulani ya kigamboni hiki kiwanja huwa naenda mara kwa mara!
Sasa siku hiyo nmemaliza kucheza muziki mida ya saa9 usiku...
Habari wana Jamii forums
Takribani miaka sita sasa toka tuingie kwenye mgogoro na rafiki angu ambaye naweza kusema tumetoka nae mbali toka tukiwa Tabora,mpaka sasa tupo pamoja huku Bunda,Mara...
Habari wana JF,
Naomba mnisaidie, eti kondomu ipo kwa ajili ya kuzuia mimba tu na sio maambukizi ya UKIMWI? Maana Jana kuna mtu kanambia kuwa kondomu haizuii kitu endapo utashiriki na muathirika...
Ni mwanamke ambaye tumefahamiana kama miezi minane iliyopita. Ofisi yake na yangu zipo jirani sana.
Mara nyingi tumekuwa tukienda breakfast na lunch pamoja.
Amekuwa akinitumia msg ambazo...
Imetokea huo kenya Mombasa, mwanamke huyo aitwae Pauline amemkata mumewe sehemu za siri baada ya mwanaume huyo kumpiga na yeye alikuwa akijilinda baada ya ugomvi kuzuka kuhusu mkopo wa benki mume...
Pokeeni salamu zangu,
Kwa kipindi fulani nilikua na mahusiano na binti mmoja sasa yupo chuo mwaka wa pili, kwa sasa ni kama mahusiano yetu yamekufa unamtumia meseji asubuhi anajibu jioni yote...
When you and your spouse hold hands and pray together, you are coming before God as a couple. It is not just you praying and it is not just your spouse praying, but the two of you praying...
Imezoeleka kuwaita watoto waliozaliwa kinyume na taratibu za ndoa kuitwa watoto wa nje ya ndoa, je watoto wanaozaliwa na mama ambaye yuko kwenye ndoa lakini kazaa na mchepuko bila mmewe kufahamu...
Habari wanajamvi?
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mitafaruku mingi ktk mahusiano. Ndoa nyingi na mahusiano mengi ya kimapenzi yanalegalega. Hakuna tena kumianiana kati ya mwanamke na mwanaume...
Wasalaam
Wakuu na wanajukwaa wote.
Nimekaa nyumbani nikiwa nimekosa raha kabisaa. Nimeumia na kuumia sana, sina furaha tena katika maisha yangu kuanzia leo. Mwanamke niliyewahi kumpenda na...
Habari wakuu,
Sote tunajua VVU pia vinaambukizwa kwa njia ya majimaji na mdomoni kama michubuko.
Sasa nimekuwa nashangaa watu wanaosema Wanatumia Kondom kama kujizuia na maambukizi ya VVU huku...
Umofia kwenu,
Jamani nahitaji mwanamke ambae atakuwa tayari tuishi pamoja as soon as possible sifa zake.
1 Mweupe
2 Mwenye kamwili kidogo
3 Atleast awe na kazi anafanya asiwe wa kukaa home tu
4...
Jamani wana-Jf kuna wahanga wakubwa sana wa- kisaikolojia, ambao ni baadhi ya watu wa kipato cha chini sana(mafukara) lakini wamepata bahati ya kupendwa na watoto wa kike/kiume wa matajiri...
Habari Wadau
Niende moja kwa moja kwenye Mada husika
Zimepita week kadhaa sasa tangu nikutane na ex, katika matembezi nilikutana na huyu expired girlfriend maeneo ya Mbagala, akiwa na mabadiliko...
Tumesafiri kikazi na jamaa yangu fulani Mtanzania. Sasa yeye muda mwingi baada ya shughuli za kazi huwa anaingia chumbani hotelini na kubaki humo ndani muda wote, ilhali mimi na wenzangu tunatoka...