Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,792
Habari wanajamvi?
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mitafaruku mingi ktk mahusiano. Ndoa nyingi na mahusiano mengi ya kimapenzi yanalegalega. Hakuna tena kumianiana kati ya mwanamke na mwanaume.
Kibaya zaidi wanawake wanawalaumu wanaume kuwa ndio wamesababisha uaminifu na upendo utoweke na wanaume nao wanalalamika wanawake ndio chanzo cha mapenzi ya dhati kutoweka. Sasa mi napenda kujuzwa kama wanaume hawahusiki na ufisadi wa mapenzi na wanawake nao hawahusiki pia,
Je ni nani anayetuhujumu ktk mapenzi? Anakaa sayari hii au Mars?
Hali si shwari tena mapenzi ya dhati yametoweka kama dinosoo. Naomba tutamfute mchawi anaeturoga ni nani?
Maana wanaume wanadai wao wana mapenzi ya dhati tatizo wanawake, wanawake nao wanarusha makombora upande wa pili, hapa kati kati kuna nani amejificha?