Ananipenda, ila moyo wangu wala haumfikirii


M

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2011
Messages
297
Likes
116
Points
60
M

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2011
297 116 60
Ni mwanamke ambaye tumefahamiana kama miezi minane iliyopita. Ofisi yake na yangu zipo jirani sana.

Mara nyingi tumekuwa tukienda breakfast na lunch pamoja.

Amekuwa akinitumia msg ambazo 100%zinaonesha kuwa anahitaji tuwe ktk uhusiano wa kimapenzi. Hatoki kazini bila kunipitia. Na nikimwambia labda nipo bize, lazima atanisubiri.

Weekend, hupenda kunikaribisha kwake hasa kwa ajili ya dinner. Na ikitokea sijaenda, lazima aniletee. Na sometimes, huwa anataka nimpe nguo zangu anifulie na kuzipiga pasi. Nilimpa mara moja tu nguo za kufua.

Si hivyo tu, bali amekuwa akinitumia meseji au kunipigia simu, KESHO NAOMBA UVAE NGUO FULANI..

Najua kuwa ananipenda sana.Tatizo moyo wangu, mbona haumkubali? Mbona nakuwa mzito?

Nifanyaje?

*Mimi nina mke, ingawa nafanya kazi mkoa mwingine na familia yangu inaishi mkoa mwingine.
 
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Messages
57,588
Likes
31,146
Points
280
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2013
57,588 31,146 280
mkuu siku zote ili kupata inabidi utoe ..sasa huyo binti anainvest kwako to me ninasema anawekeza sehemu ambayo siyo sahihi... any way sijui wewe unampango gani?

je umeshamwambia kuwa unafamilia?

usikute we ndiyo unataka kumpotezea mwenzio muda
 
A

alwatan yusuf

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2016
Messages
355
Likes
287
Points
80
A

alwatan yusuf

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2016
355 287 80
dalili zote zinaonesha unampa ushirikiano anao taka mwambie Ukweli acha kumzevesa kwani IPO Cku utajuta
 
Snipes

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Messages
7,964
Likes
13,943
Points
280
Age
25
Snipes

Snipes

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2013
7,964 13,943 280
ushaanza kuingiwa na pepo la ngono wewe eti mke wangu yupo mkoa mwingine na mimi mkoa mwingine hapo unamaanisha nini mkuu?
 
joanah

joanah

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
6,731
Likes
15,978
Points
280
joanah

joanah

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
6,731 15,978 280
Sasa unajuliza moyo wako haukubali tena??

Kwasababu una mke ndio maana moyo wako unakuwa mzito

Shukuru kwa hilo na omba uendelee kuwa na moyo huo huo
 
xng hua

xng hua

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2016
Messages
1,515
Likes
1,401
Points
280
xng hua

xng hua

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2016
1,515 1,401 280
Kipozeo kimejileta.... Piga wewe au unataka ukanunue K wakat yupo sista apo anajieshim
We kula mzigo af mwambie ukwel wewe ni kipozeo mke wangu yupo
 
Aishah2016

Aishah2016

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Messages
2,234
Likes
2,476
Points
280
Aishah2016

Aishah2016

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2016
2,234 2,476 280
Mwambie ukweli ili achukue maamuz mapema
 
Tamama

Tamama

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2016
Messages
902
Likes
1,038
Points
180
Tamama

Tamama

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2016
902 1,038 180
Najua kuwa ananipenda sana.Tatizo moyo wangu, mbona haumkubali? Mbona nakuwa mzito?
*Mimi nina mke, ingawa nafanya kazi mkoa mwingine na familia yangu inaishi mkoa mwingine.
inamana kwako tatizo sio mke unaeza kuwa na mahusiano mengine mradi tu moyo wako umkubali mtu, basi sawa subiri upate atakaeukuna moyo wako
 
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
15,731
Likes
13,805
Points
280
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
15,731 13,805 280
Hamjawahi kupendwa na msiowapenda ndo maana mnamlaumu.
 
TADPOLE

TADPOLE

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Messages
738
Likes
1,247
Points
180
TADPOLE

TADPOLE

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2015
738 1,247 180
Mkuu We Piga Tu Bwana Hao Viumbe Wapo Kwa Ajili Yetu Kama Vipi Tupiamo Vinambari Vyake Tukusaidie Mkuu
 
mambo

mambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2007
Messages
2,375
Likes
5,421
Points
280
mambo

mambo

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2007
2,375 5,421 280
Umeweka mazingira ya kuwa karibu naye mno.Ulitakuwa tangu mwanzo usiachie uhusiano uwe wa karibu hivyo kama kweli hukutaka mahusiano naye.Hivi kuna urafiki wa kawaida tu kweli mtu anakufulia nguo na kukupangia cha kuvaa? Alafu unakuja hapa kutusumbua why?Mazingira utengeneze mwenyewe alafu uje kutaka ushauri.hukujua kuwa una mke?
 
M

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2011
Messages
297
Likes
116
Points
60
M

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2011
297 116 60
Ulimwambia kama tayari una ndoa ?? Kama ndio, Basi mwambie aheshimu hilo (Ndoa iheshimiwe na watu wote)
Anafahamu hilo. Kimsingi nimeongea nae mengi sana.

Anafahamu hadi idadi ya kids nilionao
 
supermarket

supermarket

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Messages
7,148
Likes
9,985
Points
280
Age
32
supermarket

supermarket

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2016
7,148 9,985 280
Ningekuwa mimi kabla hata hajaonyesha hizo dalili ningekuwa nishamtongoza fasta halafu ikawa ndio nyumba ndogo.
USHAURI: mpende sana mkeo kwa uvumilivu, itunze familia na usichepuke.
 
kupukupu

kupukupu

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2016
Messages
366
Likes
678
Points
180
kupukupu

kupukupu

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2016
366 678 180
Kwa namna ulivyojieleza lazima utanasa tu, huoneshi mbadala wowote wa kujinasua ktk huo mtego, WANAWAKE hawashindwiii.....
 
shalet

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
2,944
Likes
2,045
Points
280
shalet

shalet

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
2,944 2,045 280
usipomepnda mwanamke mara moja ujue huwezi mpenda kabisa.
 
Bonny

Bonny

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
11,970
Likes
24,397
Points
280
Bonny

Bonny

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
11,970 24,397 280
ha ha ha ha mzee mwenzangu... mstari wako wa kwanza nimeulewa ila ule wa pili nmeuelewa zaid.
Ningekuwa mimi kabla hata hajaonyesha hizo dalili ningekuwa nishamtongoza fasta halafu ikawa ndio nyumba ndogo.
USHAURI: mpende sana mkeo kwa uvumilivu, itunze familia na usichepuke.
 

Forum statistics

Threads 1,275,228
Members 490,947
Posts 30,536,206